Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

kma unapenda black opium pasi na shaka, utapenda na hzi.

pink chiffon

sweet passion

lanuit tressor

barry the weekend

jo malone

my way
 
kma unapenda black opium pasi na shaka, utapenda na hzi.

pink chiffon

sweet passion

lanuit tressor

barry the weekend

jo malone

my way
Pamoja na hizo zoote sijui kwanini the best choice huwa ni black Opium
 
Hii Aventos napulza kufikia sa tano harufi ishaisha bhna.
Yaan inazidiwa hata na spray yangu ya "Let's imagine"
Saint Anne em nijuze perfume iliyotulia kama black opium ambayo inatulia the whole day kwenye nguo ili nikiuungishe bhana
[emoji3][emoji3] pua yko ishaizoea harufu ndo mana huiskii tena ila wa pemben yko anaipata harufu, ndo hali inavyokuaga
 
Ramza lattafa niliona humu humu kwenye thread nikanunua ipo vizuri
Dove niliona humu humu nikanunua sasa afadhali ngozi inang'aa tatizo wanaume tunaona mambo ya urembo ni mambo ya kike ndio shida.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app

Daaah aisee dove nmeitafuta bila mafanikio

Mpaka nikabadili option nashukur sjajutia mpaka sasa
Hii inaitwa Lady Presidente n hatar n fire aisee try it [emoji91][emoji91][emoji91] n ya ladies but iko poa kwa wote me na ke
 
Wale wapenzi wa black Opium [emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii hapa.
Kama mnavyojua,Black opium Haina mpinzani[emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Unapata set nzima kwa 30k tu!
Yaani elfu 10 tatu tu!

Ndani Kuna;-
Perfume
Shower gel
Lotion

Yaani unanukia kiblack opium Kila mahala aloo
 
Inaonekana nzuri
 
Duka liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…