korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
kma unapenda black opium pasi na shaka, utapenda na hzi.Itakuwa unahisi perfume imeisha lakini uliokaa nao wanakusikia.
Sometimes Mimi huwa najihisi hivyo,lakini nikipita watu wananiambia nanukia.
Japo nyingine kweli zinaisha fasta mwilini.
Ila hadi sasa binafsi yangu sijaona perfume Kali kama black opium[emoji119].
Nimekuelewa Mkuu,
Chukua hiyo Suspenso
Na Bavaria.
Hazitoki haraka mwilini.
pink chiffon
sweet passion
lanuit tressor
barry the weekend
jo malone
my way