Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Naisubiri hiyo namba rasmi.Ukihitaji nakutumia,japo ni namba ambayo si rasmi na ndiyo maana sijaiweka hapa.
Nashughulikia suala la namba permanent ya kutumia hapa,ikishakuwa tayari nitaweka.
Nitakufuata pmChoose yours,yoyote ile njoo nikupe unukie kitajiri
25 k tu
Mshaambiwa balaa la Aventos
Invicto je?
Na suspenso[emoji119]
Ukipita unatembea kigentleman[emoji91]
DSM unataja mahali ulipo nakuletea
Wa mkoani nakutumia kwa uaminifu
Karibuni.
View attachment 2512823View attachment 2512824View attachment 2512828
KaribuNitakufuata pm
Unisexblack opium ni fragrance kwa ajili ya wanawake, ila kutokana na notes zake zilivyo hta mwanaume unaweza tumia.
soma hpo.Unisex
Tutajuaje km ngozi inangaa kweli?tuma picha tuthaminishe yaliyomo yamoo?au ndo yale yalee jina la mpalange ni ubini wa mxunguuRamza lattafa niliona humu humu kwenye thread nikanunua ipo vizuri
Dove niliona humu humu nikanunua sasa afadhali ngozi inang'aa tatizo wanaume tunaona mambo ya urembo ni mambo ya kike ndio shida.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Em tuone yako 😂Uzi ulikuwa unanukia mpaka ulipovamiwa na wauza perfume famba.
Tia mafuta ya taaHivi wakuu kuna dawa ya funza
Kama hii utakuwa nayo?Available
Yeah, ipoKama hii utakuwa nayo?View attachment 2527828