Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mie nataka kujua perfyumu nzuri ya kunukia vizuri na kwa upole sana na Bei yake ya jinsia ya kike
 
Mie nataka kujua perfyumu nzuri ya kunukia vizuri na kwa upole sana na Bei yake ya jinsia ya kike
1. Riri
2. pink chiffon
3. sweet passion
4.escada cherry in the air
5. lanuit tressor
6. lavie est belle
7. black opium
8. scandal
9. jo malone
10.rams lattafa ( silver).
 
Temporary Post
Kama upo Mbeya au Arusha na unahitaji perfume kutoka kwangu nicheck nikuhudumie.
 
Hizo spray na perfume zinaongeza hormone za kufanya watu wawe mashogaaaa.

Report ya Mwakyembe inasema hivyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mousuf mm naipenda sana ila jilishawahi kuulizwa na watu sio chini ya 13 natumia perfume gani so hao wote wameongezeka kwenye mousof..
Nataka nibadili sasa maana zinachakachuliwa sana.
 
Hizo spray na perfume zinaongeza hormone za kufanya watu wawe mashogaaaa.

Report ya Mwakyembe inasema hivyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona anataka kutuvurugia biashara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabia ya mtu haihusiani na manukato..
Au raha yake watu wanuke kibeberu na hili joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…