Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

IMG_5503.jpg

Wadada go for this
Ni tamu
Inafit almost occasion zote
 
Mie nataka kujua perfyumu nzuri ya kunukia vizuri na kwa upole sana na Bei yake ya jinsia ya kike
 
Mie nataka kujua perfyumu nzuri ya kunukia vizuri na kwa upole sana na Bei yake ya jinsia ya kike
1. Riri
2. pink chiffon
3. sweet passion
4.escada cherry in the air
5. lanuit tressor
6. lavie est belle
7. black opium
8. scandal
9. jo malone
10.rams lattafa ( silver).
 
Temporary Post
Kama upo Mbeya au Arusha na unahitaji perfume kutoka kwangu nicheck nikuhudumie.
 
Hizo spray na perfume zinaongeza hormone za kufanya watu wawe mashogaaaa.

Report ya Mwakyembe inasema hivyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Epuka kutumia perfume ambazo zinatrend yaani kila mtu anapulizia, Mfano hizi[emoji116]
1: Savage
2:Sauvior
3: Blue de Chanel
4: Mousuf
5: Creed

Uzuri wa pafyum katika eneo lako uwe unatumia mwenyewe, yaani kiasi mtu hata akienda sehem tofauti akihisi ile harufu anajua hii perfume ni mtu fulani

Nishawahi kutumia mousuf nikajikuta kwenye pantoni kila mtu ananukia mousuf nimeikimbia...now natumia unyama mwengine..

Kama unataka kutumia hizo perfume nizozitaja basi hakikisha unamix na perfume nyingine au nunua zile Sansiro kama peni uwe unamix
Mousuf mm naipenda sana ila jilishawahi kuulizwa na watu sio chini ya 13 natumia perfume gani so hao wote wameongezeka kwenye mousof..
Nataka nibadili sasa maana zinachakachuliwa sana.
 
Hizo spray na perfume zinaongeza hormone za kufanya watu wawe mashogaaaa.

Report ya Mwakyembe inasema hivyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona anataka kutuvurugia biashara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabia ya mtu haihusiani na manukato..
Au raha yake watu wanuke kibeberu na hili joto
 
Back
Top Bottom