Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Pink sugar… iko very cool and sweet… na inakaa sana kwa nguo.

Pink sugar anachuana na pink chiffon wote wananukia utamu ila pink chiffon ina ukali kidogo.

My way inanukia vizuri, ila ni kali.. unaweza piga na chafya wakati unapuliza.
 
Ahsante sana Depal ubarikΓ¬weπŸ™
 
Huu uzi utakuingiza sana chaka kama utasema uone perfume huku halafu ukaitafute utajuta nakwambia.

nishaingizwa chaka na I.D moja naitafuta yule kenge atakua kashabadilisha jina,alisifia unyunyu flani hivi namimi bila hiyana nika press order ya Free Delivery.. mzigo umefika sikuelewa ile harufu ni ya Rungu au Air Fresh...

Ulaaniwe we member sijui sema ila fresh nili iweka toilet hadi ikaishaga nikimaliza kupupu naspray ndo natoka
 
Pink sugar… iko very cool and sweet… na inakaa sana kwa nguo.

Pink sugar anachuana na pink chiffon wote wananukia utamu ila pink chiffon ina ukali kidogo.

My way inanukia vizuri, ila ni kali.. unaweza piga na chafya wakati unapuliza.
Sema hyo my way ikishapoa kweny nguo ina unyama sana...ni πŸ”₯πŸ”₯
 
🀣taja jina la unyunyu tuepukane nao πŸ˜‚
 
Hahaa pole mkuu.

Mi nikijaga humu najiona bado kutoboa. Watu hawaongelei perfume za elfu 30 wanaongelea za 75 kwenda juu.

Naona bado aisee ngoja labda mwakani.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† polee sanaaaaaaaa
 
[emoji22][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbuka kitu kizuri kwa mwezio kwako unaweza usikielewe.

Na kizuri kwako yawezekana kwa mwenzio kikawa kibaya.
 
Sema hyo my way ikishapoa kweny nguo ina unyama sana...ni [emoji91][emoji91]
Sijui kwanini my way hata sielewi
Safari hii nimeamua kuitumia pekeyake

Ajabu kila ninapokwenda wanaisifia ssna yaani kila mtu ananiuliza natumia perfume gani.

Akina pink sugar ,Sweet passion wala sijawahi kuulizwa[emoji1787]ila ndio naona nzuri
Bila kusahau perfume yangu constant black opium.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…