Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Pink sugar… iko very cool and sweet… na inakaa sana kwa nguo.Katika hizi zipi haruf yake imepoa sanaaaa na zinanukia vizuri na zina bei kati ya 50,000 hadi 100,000 Depal Hornet nanyi nipeni ushauri perfume/spray gani za kike ya bajeti ya 50,000 -100,0000? anayenunuliwa amekuwa akitumia sana fasio spray na perfume yake kwa kifupi hapend za haruf kali anapenda zilizo poa but zina haruf nzuri. 🙏🙏🙏 kwa majibu mtakayonipa.
Pink sugar anachuana na pink chiffon wote wananukia utamu ila pink chiffon ina ukali kidogo.
My way inanukia vizuri, ila ni kali.. unaweza piga na chafya wakati unapuliza.