Perfume ya milioni moja🤗Ha ha ha eti mlipokea zawadi. Napenda sana kunukia, Creed nilitaka ninunue ila muuzaji akanishauri Sauvage Elixir, nayo sio mchezo mkuu. Ni moto ila lile licreed nilivyopewa nilitest lilikuwa ni moto, lina harufu kama ya mbao hiviiii. Hatari sana.
Ha ha ha tupambane na hizi za kupima.Perfume ya milioni moja🤗
Camou Active niliwahi iona kwa best angu, sema haikunivutia kwa upande wangu.Nimetafuta sana. Anayejua zilipo hapa Bongo anijulishe tafadhali
View attachment 3247153
Nimeitumia 2024 yoteYara ndio habari ya mjini 🔥🔥🔥🔥🔥
Happy new year DEPO
2024 nilikuwa na kapink sugar tuNimeitumia 2024 yote
Nikimix na sauvage ya oil.. nanukia almost siku nzima. Nisipomix mnukio haufiki saa 8 🤣Yara inanukia utam utam sana. Naipa 85 over 100.
Haha wishes zimetosha. How do we make money this year?
Have the Blessed one ever..
Unapiga nyingi mno coca wetuIssey Miyake hii aliwahi tumia mkaka tukiwa site, nlishindwa kujizuia, nkamuuliza ndo akanitajia.
Nliitafuta na nkaipata, tatizo nktumia mie napiga chafya sana na kuhisi kutapika, ila akitumia mwingne ile harufu hainikeri.
Sielewi shida nn, aaaah
Yan Yara ukiwa kwa 1st born mkubwa haishiwi kutoa hugs 🤣🤣2024 nilikuwa na kapink sugar tu
Mwaka huu nimehamia Yara mazima... Inanifaa pia Kwa hali yangu ya aleji maana haiumizi sana.
Narudi kwenye biashara yangu ya kuzurula na perfumes😂😂😂..
Kila la kheri Depal katika harakati za kutafuta pesa, Bwana asikupungukie.
Kumbe nazidisha, basi ngoja nijaribu kesho kupiga kidogo.Unapiga nyingi mno coca wetu
Katika nilizo zitaja hapo juu, hii Camau sijawahi itumia ni rafiki yangu ali recommend. Nikaona si vibaya nikajaribu, ila ndio bado sijapata.Camou Active niliwahi iona kwa best angu, sema haikunivutia kwa upande wangu.
Jaribu kasablankerIssey Miyake hii aliwahi tumia mkaka tukiwa site, nlishindwa kujizuia, nkamuuliza ndo akanitajia.
Nliitafuta na nkaipata, tatizo nktumia mie napiga chafya sana na kuhisi kutapika, ila akitumia mwingne ile harufu hainikeri.
Sielewi shida nn, aaaah
Kama una access ya kuagiza bidhaa mtandaoni agiza huko bongo wanapiga sana fake,mie niliichukua Taobao juzi nimetoka kupokea Zara Vibrant Leather 60mls.Mkuu OG si itakuwa bei sana? Mimi nanunuaga perfuma za kupima? Hivi creed aventus vipi jamani?
Unatumia platform gani kuagiza wasio wababaishajiKama una access ya kuagiza bidhaa mtandaoni agiza huko bongo wanapiga sana fake,mie niliichukua Taobao juzi nimetoka kupokea Zara Vibrant Leather 50mls.View attachment 3247773