Weekend iliyopita nlienda kwa shemu wangu, nlikaa kwa sofa lake ule mtindo wa kujimwaga,,, basi juzi mshakaji wangu ananitania usije kwangu maana umeacha harufu yako, mamaa kila akikaa ktk lile sofa lazima aseme naskia harufu ya kush,,
Shemu ananiambia niende tena nikaongeze harufu yangu,,
Nikacheka tu
Wewe nae, basi hii story tangu 2020 unairudia tu.haina gharama kubwa, kuna chupa mbili kubwa na ndogo, kubwa ni elf 30 - 40,
chupa ndogo ni elf 25 - 30,
bei zinabadirika badirika, ila pia kuna za kike pia,, ila cha ajabu hata wanawake wanazipenda za kiume,, ya kiume ina harufu yake na ya kike ina harufu yake pia, ila ya kiume inakimbiza mwizi kimyakimya 😄,,
nilienda kwa jamaa yangu nikajiachia kwa sofa nikaacha harufu pale,, shem akawa ananitania uje utoe harufu yako 🤣,,
DahWewe nae, basi hii story tangu 2020 unairudia tu.
Halaf kila ukisimulia unasema weekend iliopita.
Sauvage ina balaaaaKwa perfume za kiume, Sauvage na Creed hawana mpinzani.
Mkuu inategemea na taste yako,Sauvage ina balaaaa
Bado nabaki kwenye black opium ukichanga na cool water utanishukuru, hii ijawahi niangusha kabisa. Pata OG achana na pimapima utanishukuru baadaeMkuu inategemea na taste yako,
Umejatibu lacoste white?
Azzaro the most wanted?
Cool water by davidoff? Hii naipenda sana, inanipa compliments kama zote sema watu wanaipondaga bila sababu.
Hizo sijawahi chifuMkuu inategemea na taste yako,
Umejatibu lacoste white?
Azzaro the most wanted?
Cool water by davidoff? Hii naipenda sana, inanipa compliments kama zote sema watu wanaipondaga bila sababu.
Pita pita maduka ya Og uchukue sample kwenye vikaratasi ukanusenuse nyumban. Pafyum nzuri huwezi kuijua kwa kuinusa dukan, usikie kwa mtu ama uende na kikaratas nyumbanHizo sijawahi chifu
Nitaiuliziaa chifu,,,ila huku nipo matakoni mwa nchiPita pita maduka ya Og uchukue sample kwenye vikaratasi ukanusenuse nyumban. Pafyum nzuri huwezi kuijua kwa kuinusa dukan, usikie kwa mtu ama uende na kikaratas nyumban
Hua napita Notino na Douglas (authorized perfumes dealers )kunusa nusa, sinunui nakusanya vikaratasi vyangu ghetto, nitakayoipenda siku namtonyo naenda kununua, vikaratasi vinasaidia mnoPita pita maduka ya Og uchukue sample kwenye vikaratasi ukanusenuse nyumban. Pafyum nzuri huwezi kuijua kwa kuinusa dukan, usikie kwa mtu ama uende na kikaratas nyumban
Trick ni kunusa pale then unanusa kahawa ina reset kila kitu..Pita pita maduka ya Og uchukue sample kwenye vikaratasi ukanusenuse nyumban. Pafyum nzuri huwezi kuijua kwa kuinusa dukan, usikie kwa mtu ama uende na kikaratas nyumban
Nauliza Issey miyake ni ya kiume au ya kikeIssey miyake baba lao.. me naona inamshinda mpaka sauvage dior
Nimenusa zaid ya mara tatu sion maajabu yake kusema ukweli, not for me…Issaye miyake ikoje naisikia sana wakisifia Ambition plus
Even me aisee ni OVERRATED sanaaaaNimenusa zaid ya mara tatu sion maajabu yake kusema ukweli, not for me…
Shi ngap hiiulichoongea kina ukweli 100%,, kila nikibadili unyunyu najiona kama nakosea😆,, ila nikitumia shalis nakuwa na amani ya kutosha
Na dark fever yangu nachanganya na bavaria sina kwere bei ni umo umoNipeni pafyumu ya 30,000 ambayo inakaa muda wote mwilini na inanukia vzuri, pia kama ntapata dawa za ndevu
elf 30 - 35Shi ngap hii
Kuna harufu part II ya hii story kuikuta kwenye uzi wa kula tunda kimasiharaWewe nae, basi hii story tangu 2020 unairudia tu.
Halaf kila ukisimulia unasema weekend iliopita.
Harufu inakaa kwenye nguo Kwa muda Gani?Na dark fever yangu nachanganya na bavaria sina kwere bei ni umo umo