Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Wakuu naomba mnisaidie bei ya pafumu isimi iyake , na inapopatikana tafadhali
 
Dah kweli mkuu, kuna mhindi nikikutanae ile harufu yake nakuwa na pozi la kupiga chafya ila haitoki...

Jamaa anakiharufu fulani kama dengu kama choroko hivi ziwe na kali powder yaani dah inakera sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kunukia sio lazima unuke kikwapa. Sitaki kunukia harufu moja kama wadosi na curry[emoji12] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…