Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nisome perfume za kiume hapa
😀😀😀😀😀Mimi natumia PWIKA PWIKA.....kichupa nakipata kwa shilingi mia tu (100).........
Nikijimwagia mpaka mimi mwenyewe napata mafua.....
Inaonekana ni nzuri sna mkuu ebu nipe uzuri wake nione km nitaitafuta na mimi na jd ni ya kiume?CredibLe, wap naweza pata hyo spray' mwenye kujua pliz mana nkzkuta naweza nkazoa zote asee
Shilingi ngapi
ha ha ha mbavu zangu mie kuna dada walimkimbia wakidai perfume ya maiti cjui n kweli au laSimla
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kunukia sio lazima unuke kikwapa. Sitaki kunukia harufu moja kama wadosi na curry[emoji12] [emoji1] [emoji1]Si bure utakuwa na tatizo la kikwapa ushuzi.. zote hizo mtu mmoja?
Waoooh thats my favorite asante kwa kuniandikiaMiyaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kunukia sio lazima unuke kikwapa. Sitaki kunukia harufu moja kama wadosi na curry[emoji12] [emoji1] [emoji1]
Mkuu hii jana nimeiona laki 580,000 nikasema huyu dada anataka kuniibia nini?View attachment 367007
Baada ya kutumia Issey Miyak kwa takribani 15yrs. Saivi nmehamia humu "Creed Aventus" & "Abacrombie & Fitch Fierce"
Bei mkuuAxe Apollo is the Body spray of my choice (ijapokuwa ni ya wanaume). Kwa Perfume , I either rock CHANCE Eau TENDRE ama L'EAU D' ISSEY
Nenda posta pale it plaza na kuna duka lingine pale samora opposite na duka la vitabuDuka gani bongo jombaa?funguka pls.
Duka gani umeikuta mkuu?Mkuu hii jana nimeiona laki 580,000 nikasema huyu dada anataka kuniibia nini?