Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Ngoja nisome perfume za kiume hapa

Valentina kuna za kike nzuri sana kama ile inaitwa Roma ya laura biagiotti
ec5d9e99f885baf5154e98fd83c97f83.jpg
97ee8b70d4f48aa1e74568563392ed8c.jpg
95bab459e755de4772ad9816afa09f4c.jpg
8d36a01d7f60501d0f2840717343ab34.jpg
 
Wakuu naomba mnisaidie bei ya pafumu isimi iyake , na inapopatikana tafadhali
 
Dah kweli mkuu, kuna mhindi nikikutanae ile harufu yake nakuwa na pozi la kupiga chafya ila haitoki...

Jamaa anakiharufu fulani kama dengu kama choroko hivi ziwe na kali powder yaani dah inakera sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kunukia sio lazima unuke kikwapa. Sitaki kunukia harufu moja kama wadosi na curry[emoji12] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom