Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Okay...nakusubiri.

MIAFRIKA Nyani Ngabu na Tozi naona inashindana kunukia!!!!!teh teh teh ngoja nione nani ataibuka kidedea!!ila jamaa amekupa challenge sana mkuu nikaona ikabidi ujipange upya...hatari sana USA Baby(kile kibendera kinapatikana wapi???)
 
No one outdoes me.

I'd rather smell good than smell the funk.
 
Kuna perfume nyingine ukijipulizia unakuwa unanukia hela hela tu... Nazitafuta saana hizo
Perfume ni uchawi wa ajabu sana. Ukivaa perfume ya ukweli ata kama mifuko ni mitupu utaonekana unatilikika pesa mifukon. Washikaji watakuheshimu mademu watakuzimia na wengine kukufia ata kama sio handsome.

Unataka pafyumu za kibepari zisizo na kelele, cheki hizi hapa

Encounter by Calvin Klein

A Men by Thierry Mugler

Polo blue by Ralph Lauren

Polo Red by Ralph Lauren

Lacoste Noir

Artisan by John Varvatos

Hizi ni balaa tupu achana na cologne za kibongo fleva hizi unakuwa Don, sumaku ya kina dada.. Yani mtu akikusogelea anaona mapesa tu kwako.
 
Mkuu ya bei ya chini hapo inauzwaje kwa pesa ya madafu?
 
Natumia
UDV for Men
UNIQUE (Hii ni ya kike but harufu ime poa)
1 Million for Men
Polo for Men
Black for men
 
55d8d99f604c0c36f76e4bea1d8fe8a5.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1468758543.378784.jpg

Baada ya kutumia Issey Miyak kwa takribani 15yrs. Saivi nmehamia humu "Creed Aventus" & "Abacrombie & Fitch Fierce"
 
My best perfume jamani kila nikipita lazima MTU hanifate kuniuliza ni aina gani Possess na lotion yake

IMG]
 
Attachments

  • 1468833861689.jpg
    1468833861689.jpg
    38.5 KB · Views: 45
This is complement getter by ladies for any man who wears this Cologne

Awesome.

ImageUploadedByJamiiForums1469198856.325033.jpg
 
Back
Top Bottom