gamaweshi belo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 453
- 173
Ha ha ha mkuu nafikiri mi na wew ni mapacha tena sina hata muda wa kunusa harufuSijawah rudia bodyspray nimetumia nyingi sana hata kuorodhesha sitaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha mkuu nafikiri mi na wew ni mapacha tena sina hata muda wa kunusa harufuSijawah rudia bodyspray nimetumia nyingi sana hata kuorodhesha sitaweza
Zote hizo unatumiaUkiwa tozi lazima uwe unanukia vyema.
Okay...nakusubiri.
MIAFRIKA Nyani Ngabu na Tozi naona inashindana kunukia!!!!!teh teh teh ngoja nione nani ataibuka kidedea!!ila jamaa amekupa challenge sana mkuu nikaona ikabidi ujipange upya...hatari sana USA Baby(kile kibendera kinapatikana wapi???)
Perfume ni uchawi wa ajabu sana. Ukivaa perfume ya ukweli ata kama mifuko ni mitupu utaonekana unatilikika pesa mifukon. Washikaji watakuheshimu mademu watakuzimia na wengine kukufia ata kama sio handsome.Kuna perfume nyingine ukijipulizia unakuwa unanukia hela hela tu... Nazitafuta saana hizo
Mkuu ya bei ya chini hapo inauzwaje kwa pesa ya madafu?Perfume ni uchawi wa ajabu sana. Ukivaa perfume ya ukweli ata kama mifuko ni mitupu utaonekana unatilikika pesa mifukon. Washikaji watakuheshimu mademu watakuzimia na wengine kukufia ata kama sio handsome.
Unataka pafyumu za kibepari zisizo na kelele, cheki hizi hapa
Encounter by Calvin Klein
A Men by Thierry Mugler
Polo blue by Ralph Lauren
Polo Red by Ralph Lauren
Lacoste Noir
Artisan by John Varvatos
Hizi ni balaa tupu achana na cologne za kibongo fleva hizi unakuwa Don, sumaku ya kina dada.. Yani mtu akikusogelea anaona mapesa tu kwako.
tozi25 Nyani Ngabu Kiranga Hebu msikieni huyuNimepitia thread yote nikagundua mimi ni mtu nnaenukia sana duniani. Bado umu sijaona anaeniweza.
basi sawa, ila siku nyingine akikataa tukumbukane kwenye ufalme wa mbinguniHana jeuri ya kukataa
Haina nomabasi sawa, ila siku nyingine akikataa tukumbukane kwenye ufalme wa mbinguni