Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,168
Aisee hii biashara imejaa mjinWewe ni mmoja kati ya wasambazaji (Chinga). Mtumiaji hawezi andika hvi. Oiframe!!!!!! Orifrem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hii biashara imejaa mjinWewe ni mmoja kati ya wasambazaji (Chinga). Mtumiaji hawezi andika hvi. Oiframe!!!!!! Orifrem
Kweli Mkuu, nimejaribu kupitia baadhi ya reviews wanasema ni alternative ya AventusCouldn't agree more!! Armaf wapo vizuri sana. Club de nuit intense man ni clone ya Creed aventus. Ina harufu flani ya tofauti saaaana... Inakama kamvuke flani ambako huwezi kukadescribe...
Ilikia ndio perfume ya kwanza kununua ya armaf. Nataka nicheki perfumes zao nyingine pia
Mkuu hii ni Bleu de channel?Haitokii kwenye nguo mwaka mzima
Sure thing! Na mimi nilinunua kupitia reviews (blind buy) na sikujutia. Wengine wanasema wanaprefer hiyo than aventusKweli Mkuu, nimejaribu kupitia baadhi ya reviews wanasema ni alternative ya Aventus
Naomba kujua ka wewe ni mke wa mtu, nataka kukupigia usiku plse.![]()
Me hutumia Love Portion kutoka Oriflame.. Inanukia vizuri na hukaa kwenye nguo kwa muda mrefu...
Ukihitaji perfume nzuri za kike na za kiume na Original kutoka Oriflame usisite kuwasiliana nami kwa simu namba 0672416294
Kuhusu bei usijali ntakupunguzia kwa 30%..
Jinsi ya kuhakikisha kama Perfume yako uliyonunua ni Original au Fake na muda wa Ku-ExpireAny time mkuu.
Kutambua feki ni mtihani kidogo, may be kama umewahi kutumia hiyo perfume kabla ambapo unaweza kutambua kwa muonekano wa chupa (fake itakua na quality flani ya chini kidogo) au kama hilo duka wana testers unaweza kuspray kidogo kwenye mkono na kuangalia harufu yake na jinsi inavyobadilika overtime na hivyo kutambua kama top notes na base notes zote zipo sawasawa na original uliyokua ukitumia mara ya kwanza.
Kama haukuwahi kutumia kabla then unaweza kulinganisha bei. Cheki retail prices kwenye mtandao au hata ebay, kama ni fake bei yake itakua ni ya chini kama ni original basi bei yake itakua juu kidogo ya prices za ebay au unazoziona mtandaoni.
Option ya tatu ni kuangalia youtube, kuna reviewers huwa wanaonyesha jinsi ya kutofautisha fake na originals za perfume mbalimbali.
Jinsi ya kuhakikisha kama Perfume yako uliyonunua ni Original au Fake na muda wa Ku-ExpireThanks Chief umenitoa tongotongo.
Swali kidogo nawezaje kuzitambua fake perfume?
Kaka jambazi mbona ina bidhaa chache kwenye orodha yake.so bidhaa ambazo hazimo kwenye cosmetics calculator ni feki ama hawajajisajil nao?
Moja ya cologne classic yenye bei nafuu. Inaniokoa sana hii.Tommy hilfiger![]()
Tupe na bei mkuuMoja ya cologne classic yenye bei nafuu. Inaniokoa sana hii.
Kuna mtu huwa anazileta from UK tzs 100,000 for 100ml.Tupe na bei mkuu
Thanks hayo ndo mamboKuna mtu huwa anazileta from UK tzs 100,000 for 100ml.
Kule zinauzwa £20 kama tzs 60,000.
My collection right now...Tupe na bei mkuu
Mi kwasasa sielewi nimepata ugonjwa gani.na spend pesa nyingi kwenye unyunyu broMy collection right now...
Hizo nilizoweka hamna inayozidi £30. Mimi sinunui inayozidi £30 kwasababu napenda kuwa nazo at least tatu. Hata hivyo zinakaa sana si unaona hadi maboksi yamechakaa.Mi kwasasa sielewi nimepata ugonjwa gani.na spend pesa nyingi kwenye unyunyu bro
nipatie hata moja hapo mbona unazo nyingi hivyo [emoji3] [emoji3]Hizo nilizoweka hamna inayozidi £30. Mimi sinunui inayozidi £30 kwasababu napenda kuwa nazo at least tatu. Hata hivyo zinakaa sana si unaona hadi maboksi yamechakaa.
Unachukulia duka gani?online sijaribu chief ni hatar kwa pesa yanguHizo nilizoweka hamna inayozidi £30. Mimi sinunui inayozidi £30 kwasababu napenda kuwa nazo at least tatu. Hata hivyo zinakaa sana si unaona hadi maboksi yamechakaa.