Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Couldn't agree more!! Armaf wapo vizuri sana. Club de nuit intense man ni clone ya Creed aventus. Ina harufu flani ya tofauti saaaana... Inakama kamvuke flani ambako huwezi kukadescribe...
Ilikia ndio perfume ya kwanza kununua ya armaf. Nataka nicheki perfumes zao nyingine pia
Kweli Mkuu, nimejaribu kupitia baadhi ya reviews wanasema ni alternative ya Aventus
 
Tommy hilfiger
65f31e2797e4fbe020e73f5a201c8916.jpg
 
8962a03fca9794ebb7a51becd37bf8ae.jpg


Me hutumia Love Portion kutoka Oriflame.. Inanukia vizuri na hukaa kwenye nguo kwa muda mrefu...

Ukihitaji perfume nzuri za kike na za kiume na Original kutoka Oriflame usisite kuwasiliana nami kwa simu namba 0672416294

Kuhusu bei usijali ntakupunguzia kwa 30%..
Naomba kujua ka wewe ni mke wa mtu, nataka kukupigia usiku plse.
 
Any time mkuu.

Kutambua feki ni mtihani kidogo, may be kama umewahi kutumia hiyo perfume kabla ambapo unaweza kutambua kwa muonekano wa chupa (fake itakua na quality flani ya chini kidogo) au kama hilo duka wana testers unaweza kuspray kidogo kwenye mkono na kuangalia harufu yake na jinsi inavyobadilika overtime na hivyo kutambua kama top notes na base notes zote zipo sawasawa na original uliyokua ukitumia mara ya kwanza.

Kama haukuwahi kutumia kabla then unaweza kulinganisha bei. Cheki retail prices kwenye mtandao au hata ebay, kama ni fake bei yake itakua ni ya chini kama ni original basi bei yake itakua juu kidogo ya prices za ebay au unazoziona mtandaoni.

Option ya tatu ni kuangalia youtube, kuna reviewers huwa wanaonyesha jinsi ya kutofautisha fake na originals za perfume mbalimbali.
Jinsi ya kuhakikisha kama Perfume yako uliyonunua ni Original au Fake na muda wa Ku-Expire
 
Mi kwasasa sielewi nimepata ugonjwa gani.na spend pesa nyingi kwenye unyunyu bro
Hizo nilizoweka hamna inayozidi £30. Mimi sinunui inayozidi £30 kwasababu napenda kuwa nazo at least tatu. Hata hivyo zinakaa sana si unaona hadi maboksi yamechakaa.
 
Hizo nilizoweka hamna inayozidi £30. Mimi sinunui inayozidi £30 kwasababu napenda kuwa nazo at least tatu. Hata hivyo zinakaa sana si unaona hadi maboksi yamechakaa.
nipatie hata moja hapo mbona unazo nyingi hivyo [emoji3] [emoji3]
 
Hizo nilizoweka hamna inayozidi £30. Mimi sinunui inayozidi £30 kwasababu napenda kuwa nazo at least tatu. Hata hivyo zinakaa sana si unaona hadi maboksi yamechakaa.
Unachukulia duka gani?online sijaribu chief ni hatar kwa pesa yangu
 
Back
Top Bottom