Mi Corazon
Senior Member
- Oct 16, 2018
- 162
- 253
Natumia hii Inaitwa Amber flixir mystery EDP brand Oriflame kitu amazing sana [emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena sana na uwe smart..midnight fantasy
sauvage dior
sex gravity
red oud
vanilla na victoria secret
kunukia ni raha sana.
Hiyo nikijipulizia huwa inakaa hata siku 3 kwa nguo
Hii harufu yake sio kali ya kuwakera wengine.Hiyo nikijipulizia huwa inakaa hata siku 3 kwa nguo
Bitter peach bei ngapiHii harufu yake sio kali ya kuwakera wengine.
Mana natumia bitter peach,ni nzuri sana ila mwanzo nilikua napiga chafya sana,naona hata nikiwa kwenye usafiri wa uma naona abiria wenzangu wanapiga chafya hata ofisin ilikua ni hivyo ila sasa wameizoea.
Ya kupima 45000tshBitter peach bei ngapi
Inapatikana wapi
Aah hapo sawaYa kupima 45000tsh
Bei gan hii
30000Bei gan hii
Maduka yote yenye mitaji mikubwaInapatikana wapi
Tafuta Givenchy Organza....utaniambia.Mi huwa naletewa tu, sijui ni Og au famba. View attachment 1956371
View attachment 1956372
View attachment 1956373
Hiyo gevenchy niya kike au kiumeTafuta Givenchy Organza....utaniambia.
Hio niliotaja ya kike kwasababu nimerecommend kwa huyo dada.Hiyo gevenchy niya kike au kiume
Ohh sawa,co kuna moja nilikuwa natumia ina mchanganyiko wa givenchy ni zile za kupima na ilikuwan poa sanaHio niliotaja ya kike kwasababu nimerecommend kwa huyo dada.
Na kati ya hizo hiyo Givenchy ndio naipenda, asante kwa kunijuza, i'll surely try it.Tafuta Givenchy Organza....utaniambia.
Namuunga mkono mdau mmoja pale juu amesema sabuni ya jamaa na maji ya chumvi[emoji23]Wewe unatumia nini?
Namuunga mkono mdau mmoja pale juu amesema sabuni ya jamaa na maji ya chumvi[emoji23]
Mimi sijafika maisha yako ya kutumia perfume za bei kalii..
Huwa natumia body sprays+splash.
Na huwa nachanganya, sometimes inatokea harufu nzuri mno.
Sprays zangu pendwa mara nyingi ni knowledge, chastity(zote mbili),Dolby,na NYINGINE nyingi nimezisahau majina.
Splashs ndio nyingi zaidi i.e secret of Lady, Sweet,za vanilla.
Nikikosa hizo sprays basi natumia yoyote tu kama Galaxy na adorable.
Kutokana na tatizo langu la kiafya(nina nasal polyps),, specialist wangu alishauri niache kanisa!ama nijikite kwenye nivea dry impact,na ndiyo ninayotumia Sasa.
Kuacha kabisa ni ngumu.
Huwa natumia pia udi na manukato fulani ya kiislamu,huuzwa msikitini..majina yake sijayakariri...
Kwa ushauri wa mambo ya perfumes muone Kiranga .
Huyu mtu [emoji119][emoji119][emoji119],kwa perfumes alizonazo,nadhani anajua aina tofauti tofauti ya harufu za perfumes.