Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Zote mtazitaja...ila kuna moja inaitea mousuf a.k.a Kigunia

Hi ni hatar aiseeView attachment 2233590

iMix na FOGG(spray)..
Unyama sana
IMG_8685.jpg
 
Zote mtazitaja...ila kuna moja inaitea mousuf a.k.a Kigunia

Hi ni hatar aiseeView attachment 2233590
the most overrated perfume ever...

yaani hii kwangu ya kawaida mnooooo

hebu tafuta hzi achana na hyo taktaka

1. pink chiffon

2. escada taj sunset

3. esacda cherry in the air

4. escada magnetism

5. sexy graffity

6. rams lattafa (silver colour)

7. black orchid by tom ford

8. lanuit tressor(kiboko sana hii)


tafuta hzo kitu halafu linganisha na huo upupu wa kigunia
 
the most overrated perfume ever...

yaani hii kwangu ya kawaida mnooooo

hebu tafuta hzi achana na hyo taktaka

1. pink chiffon

2. escada taj sunset

3. esacda cherry in the air

4. escada magnetism

5. sexy graffity

6. rams lattafa (silver colour)

7. black orchid by tom ford

8. lanuit tressor(kiboko sana hii)


tafuta hzo kitu halafu linganisha na huo upupu wa kigunia
Weka na bei master
 
kupata og kabisa hzo bei zake ni mkasi ni kuanzia 300000tsh

ila zipo oil based perfumes zake wanapima bongo kwa mfano mils 50 ni 35000tsh na 100mils ni 55000 na ni kma og tu

cheki na wauzaji kma ematscents, glamourscents

hao wte wanapatikana insta.
HatAr sana.ila naitafuta kurous.ni toleo bora kwangu all time.muwa mwingine ji isey miyake.hivi vyuma ni all weather road.
 
Kuna unyunyu unaitwa Mousuf Kigunia, original perfume achana na sprays ulizia huo ukikosa utapoulizia nicheki nkupe namba ya jamaa anaeuza maunyunyu napochukuaga...mimi natumia Mousuf kwa sasa mkuu iko vizur cha msingi ni kujipulizia sehem muhim za mwili ndo inakua inatoa harufu nzur asubuh hadi usiku.
overrated.
 
Back
Top Bottom