Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Hii ni Bei gan?
120,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni Bei gan?
Ambao mifuko yao haiko imara,
Tafuta aventos blue ndio ya kiume,(sio aventus)
Gharama yake sio kubwa ni 18k-25k inategemea na duka..ni nzuri pia.
Yeah!
Yeah!
Unauzaje Hornet?
Nilikua naitumia kipindi flani kazini,Hii sikumbuki hata nilichukua Bei gani
Ngoja ntakujibu Kesho
Nilimchukulia shemeji yako
Ni nzuriiii naona kuliko hata hizi za 100,000 kuendelea
Umewai tumia club de nuit intense man mkuu? If yes, vipi iko poa sana?Nilikua naitumia kipindi flani kazini,
Nina tabia ya kukinai...
Juzi nimeikumbuka, nimeitafuta mji mzima sijaipata...
Ikabidi nichukue aina ingine.
Nilikua naitumia kipindi flani kazini,
Nina tabia ya kukinai...
Juzi nimeikumbuka, nimeitafuta mji mzima sijaipata...
Ikabidi nichukue aina ingine.
Umewai tumia club de nuit intense man mkuu? If yes, vipi iko poa sana?
Club nuit intense man by armaf,Umewai tumia club de nuit intense man mkuu? If yes, vipi iko poa sana?
Yenyewe hiyo, kama ndo hivyo ntaifanyia mpango nijizawadie hiyo
Master of compliments kwa wanaozijua cologne nzuri.
Naitaka.Ipo kwa jirani yangu hapa Ana Mali nzuri sana
[emoji23] hapo sasa ndo napoogopa, unajikuta unatoa 100+k halafu bidhaa feki inauma sana hiyo, ntafatilia zaid nipate duka sahihi la uhakikaClub nuit intense man by armaf,
Yeah nimetumia kaka, ni nzuri mwanzo inakua na harufu strong, dry down yake kwangu mimi nasikiaga kama harufu ya bubble gum(very nice).
Ni nzuri mno.
Ukipata original utaenjoy.
Nasikia sokoni kuna feki zake za kutosha.
Uko addicted kama mimi?
Uko addicted kama mimi?
Hasara roho tu, jitosee mkuu.[emoji23] hapo sasa ndo napoogopa, unajikuta unatoa 100+k halafu bidhaa feki inauma sana hiyo, ntafatilia zaid nipate duka sahihi la uhakika