Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Ukiipata madukani ni kati ya 60k-100k..

Ni nzuri mno na inakaa sana.
20211117_071136.jpg
 
Ambao mifuko yao haiko imara,
Tafuta aventos blue ndio ya kiume,(sio aventus)

Gharama yake sio kubwa ni 18k-25k inategemea na duka..ni nzuri pia.
 
Hii sikumbuki hata nilichukua Bei gani
Ngoja ntakujibu Kesho

Nilimchukulia shemeji yako

Ni nzuriiii naona kuliko hata hizi za 100,000 kuendelea
Nilikua naitumia kipindi flani kazini,
Nina tabia ya kukinai...

Juzi nimeikumbuka, nimeitafuta mji mzima sijaipata...
Ikabidi nichukue aina ingine.
 
Umewai tumia club de nuit intense man mkuu? If yes, vipi iko poa sana?
Club nuit intense man by armaf,

Yeah nimetumia kaka, ni nzuri mwanzo inakua na harufu strong, dry down yake kwangu mimi nasikiaga kama harufu ya bubble gum(very nice).

Ni nzuri mno.
Ukipata original utaenjoy.

Nasikia sokoni kuna feki zake za kutosha.
 
[emoji23] hapo sasa ndo napoogopa, unajikuta unatoa 100+k halafu bidhaa feki inauma sana hiyo, ntafatilia zaid nipate duka sahihi la uhakika
 
[emoji23] hapo sasa ndo napoogopa, unajikuta unatoa 100+k halafu bidhaa feki inauma sana hiyo, ntafatilia zaid nipate duka sahihi la uhakika
Hasara roho tu, jitosee mkuu.

Siku hizi nimeshtuka kuna vikopo vya bei chee sana na vinafanya vyema kuliko hizo cologne za mapesa mengi...

Kuna moja nimesahau jina,haina bei

Brand ni lonkoon,
Chupa ya mviringo rangi ya orange [emoji521].
Nilitumia kichupa kimoja tu.

Hii ilikua nzuri sana,niliisaka mno sikufanikiwa.

Hornet
Hebu niulizie kama inapatikana huko.
Naipenda mno.
 
Back
Top Bottom