Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Epuka kutumia perfume ambazo zinatrend yaani kila mtu anapulizia, Mfano hizi[emoji116]
1: Savage
2:Sauvior
3: Blue de Chanel
4: Mousuf
5: Creed

Uzuri wa pafyum katika eneo lako uwe unatumia mwenyewe, yaani kiasi mtu hata akienda sehem tofauti akihisi ile harufu anajua hii perfume ni mtu fulani

Nishawahi kutumia mousuf nikajikuta kwenye pantoni kila mtu ananukia mousuf nimeikimbia...now natumia unyama mwengine..

Kama unataka kutumia hizo perfume nizozitaja basi hakikisha unamix na perfume nyingine au nunua zile Sansiro kama peni uwe unamix
 
Attachments

  • IMG-20230302-WA0016.jpg
    IMG-20230302-WA0016.jpg
    50.6 KB · Views: 39
  • IMG-20230302-WA0015.jpg
    IMG-20230302-WA0015.jpg
    37.6 KB · Views: 37
Epuka kutumia perfume ambazo zinatrend yaani kila mtu anapulizia, Mfano hizi[emoji116]
1: Savage
2:Sauvior
3: Blue de Chanel
4: Mousuf
5: Creed

Uzuri wa pafyum katika eneo lako uwe unatumia mwenyewe, yaani kiasi mtu hata akienda sehem tofauti akihisi ile harufu anajua hii perfume ni mtu fulani

Nishawahi kutumia mousuf nikajikuta kwenye pantoni kila mtu ananukia mousuf nimeikimbia...now natumia unyama mwengine..

Kama unataka kutumia hizo perfume nizozitaja basi hakikisha unamix na perfume nyingine au nunua zile Sansiro kama peni uwe unamix
Ni kweli usemacho ila mfano izi sauvage, saviour(by Paris corner),sauve(by global world) nyingi apa ni fake mzee,na za kupima oil zao nyingi ni low quality kaka..

Ukikuta mtu ananukia sauvage O.G no doubt ipo tofauti au ukute ya kupima mtu oil ni high quality yenyewe ndo inakaribiana na sauvage O.G. Kma unaikumbuka perfume oil za ematscent kipindi anaanza(2019 nazan) sio Sasa ni kama za kariakoo tuu..

Machimbo yakupima yapo tafuta ila watu wakiwa famous wanaanza kuchakachua ndo mana watu hawayataji mfano uyo emat.. sauvage kiukwel ni compliments gater sana..
Mfano wa chimbo ni wasyria wakija wanajitaidi oil wanajitaidi..
Kuhusu mousuf asee ni kwel inapendwa adi nimeikariri na sijawai itumia..
 
Ematscent 2019 alikua na packages mbovu mno,ila juicy [emoji39] ilikua ni noma mno...saiz packages zake ni poa sana ila kilichomo ndani ni takataka kabisa..

Kwa mwanzo kujenga trust na wateja ni rahisi mno..ila ukipoteza huo uaminifu mteja akikimbia ni ngum sana kumwaminisha/kumrudisha na hapa ndipo tuna fail wabongo wengi...tukishawa-win wateja tunapunguza ubora wa bidhaa ili tupate faida kubwa kumbe ndio tunazika biashara
 
Ya package ilikua kawaida sprayer ilikua inamwaga kama Bomba la mvua ila ilikua inakaa adi unajiuliza kwani Kuna difference na O.G? Nakumbuka 2020 ivi nlichukua creed lastly ilikua moto mnooo nkanunua chupa 2 daily Wana lazima wakuulize..Ile ya kishkaji "we fala ivi unatumia unyunyu gani" wengi tukawa tunaagiza kwake dar(makumbusho)

Alipokua famous eeeh asee sijui imekuaje na kuongeza customer care yake mbovu ndo akanikosa kabisa.. ila still ana watu wengi mno..
 
Watu wengi ndio sisi ni jambo la mda tu..

Customer care yake ni mbovu mno,kuanzia boss mpaka wafanyakazi..

Alikua na ofisi pale makumbusho,akabadilisha duka kutoka dogo kwenda kubwa..napiga simu napewa namba ya mfanyakazi wake wa hapo dukani...ananielekeza kama hataki..nafika dukani mteja nimechangamka,muuzaji sasa kanuna hana hata tone la uchangamfu...

Kila ukimwambia hebu ninusishe na ile na ile sura yake inaonesha kama hafurahishwi..

Wewe unatumia ipi?mimi situmii
Una ni recommend nichukue ipi na ipi?
We chagua yeyote unayopenda....
Hakuna strategies za upselling kabisa.

Nimeenda sinza mara mbili,duka limezidi kuwa kubwa,huduma mbovu na bidhaa mbovu..nimekula kona.

Huyo jamaa sitanunua tena bidhaa zake hata akiboresha bidhaa na huduma zake.
 
binasfi bdo natumia kutoka kwake, since 2021 mpaka sasa hvi navyoandika hpa

na harufu inakaa masaa 12

nishanunua kwake sio chini ya mara 7

na zote zilikuwa superb
 
Watu wengi ndio sisi ni jambo la mda tu..

Customer care yake ni mbovu mno,kuanzia boss mpaka wafanyakazi..

Alikua na ofisi pale makumbusho,akabadilisha duka kutoka dogo kwenda kubwa..napiga simu napewa namba ya mfanyakazi wake wa hapo dukani...ananielekeza kama hataki..nafika dukani mteja nimechangamka,muuzaji sasa kanuna hana hata tone la uchangamfu...

Kila ukimwambia hebu ninusishe na ile na ile sura yake inaonesha kama hafurahishwi..

Wewe unatumia ipi?mimi situmii
Una ni recommend nichukue ipi na ipi?
We chagua yeyote unayopenda....
Hakuna strategies za upselling kabisa.

Nimeenda sinza mara mbili,duka limezidi kuwa kubwa,huduma mbovu na bidhaa mbovu..nimekula kona.

Huyo jamaa sitanunua tena bidhaa zake hata akiboresha bidhaa na huduma zake.
nanunuaga wakala wa moshi

huduma ni excellent

nanusa kila kopo
 
Ulinirecomment ile bitter peach kwa hao jamaa Asee ni kali sana na masaa matatu mengi kitu hola. Nimeishia kuigawa tu maana hakuna value for money
 
Back
Top Bottom