Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Kuna za kupima yan bei ya kawaida ila zinanukia kama zile original kabisa, kwahiyo kuwa makin na hela yako.
 
Alaf mama mchungaji ndo umeninyima pafyumu kabisaa
Nitashusha maombi hapa hizo pafyumu zitoe harufu ya dagaa[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashangaa hadi muda huu haujaja kuniungisha
 
[emoji23]me ndio mana nastuka nikisikia za malaki kadhaa , huku nafaham za kupima za hela isiyo kali kabisa na zina balah haswa
[emoji1787][emoji1787]

Shida ya perfume za kupima zinaisha kama upepo.
 
212MEN ipo kwenye damu.since 2000-mpk kesho.
JPEG_20230408_194559_2360588209523008944.jpg
 
Back
Top Bottom