Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Body splash na body spray ya MOUSUF .....zile nazo ni nzuri haswa...zinanukia vzur na kwa muda mrefu
TBS wamezipiga ban
Zina viambata sumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Body splash na body spray ya MOUSUF .....zile nazo ni nzuri haswa...zinanukia vzur na kwa muda mrefu
mm ndio natumia hizo zote 🤔TBS wamezipiga ban
Zina viambata sumu
Kuna siku niko class pembeni amekaa mdada mkali kinomaa anashusha modules. Mtoto ananukia vizuri ikabidi niandike note nimuulize perfume yake bei gani ,jina lake na kama ni unisex.
Jina linakuja Ur way, 65k na unisex.
Nikaachana nae hata story zikaisha hapo
mm ndio natumia hizo zote [emoji848]
Elfu 65 kanunua kwa bei kubwa.Kuna siku niko class pembeni amekaa mdada mkali kinomaa anashusha modules. Mtoto ananukia vizuri ikabidi niandike note nimuulize perfume yake bei gani ,jina lake na kama ni unisex.
Jina linakuja Ur way, 65k na unisex.
Nikaachana nae hata story zikaisha hapo
Machimbo yapo mengiHizo za kupima kwa jumla napata wapi
Hizi orchid karibia zote zinakuwaga nzuri sana
Nipo Dar dearMachimbo yapo mengi
Inategemea uko mkoa gani.
Utapigwa za kichwa ukiangalia bei maana wakishakujua watakubambikia fake kwa bei ya og cha msingi fahamu maduka genuine na bidhaa zake. Kuna dada kkoo ananiletea za kupima mwanzo alikua anachakachua baadae akaniambia tu ukweli na nikawa mteja wake baada ya kugundua mchezo wake.Jamani hebu muweke na bei inasaidia kujua quality kwa sisi wengine.
Sure bro ila kwa wenye pesa ambazo sio za mawazo wananunua tuSio maisha ya chuo tu
Hata maisha ya kawaida hyo inakusogeza siku kadhaa
Sijajua aisee afu picha inagoma funguka, itakuwa ni my waySiyo My way? Ambayo hiyo ni copy ya away View attachment 2604655
Siko daslama sasaElfu 65 kanunua kwa bei kubwa.
Njoo nikuuzie hiyo ur way,25k
Sijajua aisee afu picha inagoma funguka, itakuwa ni my way
Unanunua duka gani mjini hukoMy way ndo 65,000 halafu ina copy yake wanauza 18,000 sijui
Ila original yake ni Away nayo sijui kibongobongo ni ngapi
[emoji23][emoji23] life liko tofaut kwa kil mmojKabisa kaka hio kwa maisha ya chuo ni hela ya week kadhaa afu mtu anatumia kwenye perfume, ndio nikaamini hapa duniani hatufanani
UKiwa na hela unanunua zile OG kabsa za laki na uchafuSure bro ila kwa wenye pesa ambazo sio za mawazo wananunua tu
Mchawi pesaUKiwa na hela unanunua zile OG kabsa za laki na uchafu
Wengi siku hizi wanachakachua sana.Nipo Dar dear
yaani GIORGIO ARMANI (my way EA de perfume) kaiga hyo AWAY??Siyo My way? Ambayo hiyo ni copy ya away View attachment 2604655