Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Hebu niambie OG inauzwaje, maana najua hii ni fake ila naona imepitiliza.
Nilinunua 40K

40k ni feki mkuu...

Ukinunua original kwa wauzaji wa bongo haiwezi ikawa chini ya 400k...

Kama unapenda harufu yake, ni bora hata ungenunua zile oil perfume walau zinakaa kaa kwenye nguo...
 
Wakuu Nimetumia Ramz lataffa nataka nihamie perfume nyingine...ipi ni nzuri kwa budget ya 25k au zile za kupima korokwincho
IMG_20230609_174530_145.jpg

Hiyo unayotumia ukimaliza nunua huu mchanganyiko kwa wale wanao uza za Kupima MIX kisha tembea nacho.

Mimi kibegi changu kila niendapo ndani kina huyu jamaa + Simu + Charger.

Nikiingia eneo lolote uwepo wangu unajulikana,ki ufupi Hamna utakae msogelea asitamani uendelee kukaa karibu nae.

kasoro kina Mama Kija hao ni fifty fifty

Kuna mama Kija ashawahi nipendaaaa kwa ajili ya hayo manukato.

Na kuna mama Kija alikua hataki hata nimsogeleee aliniambia siku atanitapikia Live nikiendelea kwenda kama siwezi tuma mtu aende.

Nina Huo Mkitu ndio natembea nao popote, ila Nikitoka Home najinyunyizia hiyo Scandal.. hii mixer ni ya kuzurura nayo.

Hiyo ndio Perfect Combo yangu! Japo huwa n mzee wa kubadilika sana sema Scandal inaubariki moyo wangu sana.
 
View attachment 2696261

Unyama ni mwingi hapo mzee
 
Unyama sana bro ntajaribu hizi mix za kupima maaa sijawahi kutumia za kupima
 
Za kupima ni nzuri sana sababu unapata pure smell ya kitu ume taka.. hizi za kununu ready made labda kama una uwezo wa kutungua za kuanzia 100k kwenda mbele ila tofaut na hapo tulia humu kwa masikini wenzio middle class tuishi kama tuna hela kumbe tunanukia tu.
 
Unyama mwingi
 
Umetisha. Mfano mix yako Scandal bei gani?

Na ukienda kwa mtu wa kumix unamuambiaje ili upate mchanganyiko mzuri?
 
Umetisha. Mfano mix yako Scandal bei gani?

Na ukienda kwa mtu wa kumix unamuambiaje ili upate mchanganyiko?
Mixer yangu huwa ni ya 45,000

Ukienda unaweza muonyesha hiyo picha hapo au ukaandika majina ya hizo flavour ukifika unamtajia.

Hizo zote mimi ni perfume nilizozitumia nikazipenda.

Sasa ikafika wakati nataka ziacha niende ingine ndio huyo mjamaa akaniambia kwasababu zote hizi 3 umezipenda harufu yake kwanini usichanganye upate flavour Mpyaa..

Day 1 nikamwambia hebu nitestie nipimie mixer ya 25k niende test zali.

Akanimixia nikaondoka, Balaaa lake ilibidi nirudi kabla unyunyu haujaisha aniongeze kichupa kingine cha 25k.

From there mimi nshakua Member ananifanyia 45k tu napa perfect combo nzuri mnooo..

Nina kidude kingine nakificha kwa mfuko wa suruali cha kujifutia kile mbele kila kigololi cha round, kile ananipmiaga cha 10k... Basi Nimemaliza Siku yangu nzima mpk narudi home.
 
Wapi hapo mkuu penye hayo maunyama na sisi low middle class tukapimiwe
 
Wazee wa machinbo, hii body spray inauzwaje?.
 
Attachments

  • imUQJsYYe2.jpg
    imUQJsYYe2.jpg
    12.8 KB · Views: 48
Back
Top Bottom