korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
chini ya laki 2Mkuu hapo pote ni bei gani umetumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chini ya laki 2Mkuu hapo pote ni bei gani umetumia
Hebu niambie OG inauzwaje, maana najua hii ni fake ila naona imepitiliza.Taja bei uliyouziwa tukuambie kama umeuvaa mkenge au lah...
Hpo hamna kitu bro, ni maji hayo [emoji23]Hebu niambie OG inauzwaje, maana najua hii ni fake ila naona imepitiliza.
Nilinunua 40K
Hebu niambie OG inauzwaje, maana najua hii ni fake ila naona imepitiliza.
Nilinunua 40K
Kabisa mkuu, ipi yenye uafqdhali mkuuHpo hamna kitu bro, ni maji hayo [emoji23]
Zinauzwa wapi hizi mkuu40k ni feki mkuu...
Ukinunua original kwa wauzaji wa bongo haiwezi ikawa chini ya 400k...
Kama unapenda harufu yake, ni bora hata ungenunua zile oil perfume walau zinakaa kaa kwenye nguo...
Zinauzwa wapi hizi mkuu
Wakuu Nimetumia Ramz lataffa nataka nihamie perfume nyingine...ipi ni nzuri kwa budget ya 25k au zile za kupima korokwincho
Unyama ni mwingi hapo mzeeView attachment 2696261
Hiyo unayotumia ukimaliza nunua huu mchanganyiko kwa wale wanao uza za Kupima MIX kisha tembea nacho.
Mimi kibegi changu kila niendapo ndani kina huyu jamaa + Simu + Charger.
Nikiingia eneo lolote uwepo wangu unajulikana,ki ufupi Hamna utakae msogelea asitamani uendelee kukaa karibu nae.
kasoro kina Mama Kija hao ni fifty fifty
Kuna mama Kija ashawahi nipendaaaa kwa ajili ya hayo manukato.
Na kuna mama Kija alikua hataki hata nimsogeleee aliniambia siku atanitapikia Live nikiendelea kwenda kama siwezi tuma mtu aende.
Nina Huo Mkitu ndio natembea nao popote, ila Nikitoka Home najinyunyizia hiyo Scandal.. hii mixer ni ya kuzurura nayo.
Hiyo ndio Perfect Combo yangu! Japo huwa n mzee wa kubadilika sana sema Scandal inaubariki moyo wangu sana.
Unyama sana bro ntajaribu hizi mix za kupima maaa sijawahi kutumia za kupimaView attachment 2696261
Hiyo unayotumia ukimaliza nunua huu mchanganyiko kwa wale wanao uza za Kupima MIX kisha tembea nacho.
Mimi kibegi changu kila niendapo ndani kina huyu jamaa + Simu + Charger.
Nikiingia eneo lolote uwepo wangu unajulikana,ki ufupi Hamna utakae msogelea asitamani uendelee kukaa karibu nae.
kasoro kina Mama Kija hao ni fifty fifty
Kuna mama Kija ashawahi nipendaaaa kwa ajili ya hayo manukato.
Na kuna mama Kija alikua hataki hata nimsogeleee aliniambia siku atanitapikia Live nikiendelea kwenda kama siwezi tuma mtu aende.
Nina Huo Mkitu ndio natembea nao popote, ila Nikitoka Home najinyunyizia hiyo Scandal.. hii mixer ni ya kuzurura nayo.
Hiyo ndio Perfect Combo yangu! Japo huwa n mzee wa kubadilika sana sema Scandal inaubariki moyo wangu sana.
Za kupima ni nzuri sana sababu unapata pure smell ya kitu ume taka.. hizi za kununu ready made labda kama una uwezo wa kutungua za kuanzia 100k kwenda mbele ila tofaut na hapo tulia humu kwa masikini wenzio middle class tuishi kama tuna hela kumbe tunanukia tu.Unyama sana bro ntajaribu hizi mix za kupima maaa sijawahi kutumia za kupima
Unyama mwingiZa kupima ni nzuri sana sababu unapata pure smell ya kitu ume taka.. hizi za kununu ready made labda kama una uwezo wa kutungua za kuanzia 100k kwenda mbele ila tofaut na hapo tulia humu kwa masikini wenzio middle class tuishi kama tuna hela kumbe tunanukia tu.
Umetisha. Mfano mix yako Scandal bei gani?Za kupima ni nzuri sana sababu unapata pure smell ya kitu ume taka.. hizi za kununu ready made labda kama una uwezo wa kutungua za kuanzia 100k kwenda mbele ila tofaut na hapo tulia humu kwa masikini wenzio middle class tuishi kama tuna hela kumbe tunanukia tu.
Mixer yangu huwa ni ya 45,000Umetisha. Mfano mix yako Scandal bei gani?
Na ukienda kwa mtu wa kumix unamuambiaje ili upate mchanganyiko?
Aventus Kuna copy na original copy 400k original 1,300,000/=Hyo aventus + black opium ina unyama mzee haileti mafua??
Wapi hapo mkuu penye hayo maunyama na sisi low middle class tukapimiweMixer yangu huwa ni ya 45,000
Ukienda unaweza muonyesha hiyo picha hapo au ukaandika majina ya hizo flavour ukifika unamtajia.
Hizo zote mimi ni perfume nilizozitumia nikazipenda.
Sasa ikafika wakati nataka ziacha niende ingine ndio huyo mjamaa akaniambia kwasababu zote hizi 3 umezipenda harufu yake kwanini usichanganye upate flavour Mpyaa..
Day 1 nikamwambia hebu nitestie nipimie mixer ya 25k niende test zali.
Akanimixia nikaondoka, Balaaa lake ilibidi nirudi kabla unyunyu haujaisha aniongeze kichupa kingine cha 25k.
From there mimi nshakua Member ananifanyia 45k tu napa perfect combo nzuri mnooo..
Nina kidude kingine nakificha kwa mfuko wa suruali cha kujifutia kile mbele kila kigololi cha round, kile ananipmiaga cha 10k... Basi Nimemaliza Siku yangu nzima mpk narudi home.
Kunukia gharama kubwa sana [emoji3]Aventus Kuna copy na original copy 400k original 1,300,000/=
Mamii hii inauzwaje?