Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

mnyama ASIYEIMBWA.
20230822_074749.jpg
 
Mkuu ngoja nikusaidie..hakuna perfume inaitwa Multi Perfume..hilo ni jina la duka la linalouza Perfume..wanauza perfume Og na zile za kupima.
Sasa zile za kupiga kwenye chupa ambazo wameweka perfume ukiacha jina lenyewe la perfume ambalo huwa kwa chini huwa wanaweka label ya hilo duka kama ulivyolitaja hapo. Mfano..utakuta hiyo Multi Perfume kwa juu na chini jina la perfume ni Blue de Chanel.
Nalifahamu duka moja lipo Dodoma Uhindini linajulikana kwa jina hilo.
IMG_20230901_014702_176.jpg

Mkuu unapatikana wapi?je naweza kupata perfume ya kiume iitwayo MULTI PERFUME
 
wakuu kwa bajet ya 20k ninunue perfume ipi ambayo inaweza kaa mwilini masaa 24 non-stop (zile hata ikifikia jion bado harufu iwepo)
 
Nataka nirudi kwenye hizi perfume za kupima,ingawa kinachoniudhi zinaacha madoa kwenye nguo.Hivi kwa sasa wanaume wenzagu ipi ni perfume kali zile za kupima,iwe ni za Ematscent,Multiperfume au wowote wengineo...?
 
Perfume haipulizwi kwenye nguo, unakosea ndio maana zinaacha madoa
 
Perfume haipulizwi kwenye nguo, unakosea ndio maana zinaacha madoa
Sio perfume zote zisizopulizwa kwenye nguo,perfume zenye alcohol ya 80%-90% hazina hiyo shida ya kuacha madoa,ila perfume ambazo ni free from alcohol zote na zenye oil content zinaacha madoa kwenye nguo...
 
Nataka nirudi kwenye hizi perfume za kupima,ingawa kinachoniudhi zinaacha madoa kwenye nguo.Hivi kwa sasa wanaume wenzagu ipi ni perfume kali zile za kupima,iwe ni za Ematscent,Multiperfume au wowote wengineo...?
Emat ana My way
 
Nyumb yangu imezungukwa na vichaka vyenye nyuki wengi huwa sipaki hiyo minutes kuepuka kufuatiliana
 
Back
Top Bottom