Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Nina my way
Na pink sugar
Na 212
Ila naona pink sugar kamzidi my way.
kwangu perfume za kike nazirate hvi kwa uzuri

1. Escada Red sorbet

2. Lanuit tressor ysl

3. pink chiffon

4. sweet passion

5. Eden Apple Juicy

6. Riri by rihana

7. escada cherry in the Air

8. sexy graffiti

9. pink sugar

10. Black Opium

11. My way

12. Lavi Este belle
 
Ushauri wa Kitaalamu.
Makampuni mengi kama siyo yote yanayozalisha/kutengeneza manukato yako nchi zenye hali ya hewa ya ubaridi wa kupitiliza zaidi ya robo tatu ya kipindi cha mwaka, hivyo manukato wanayotengeneza pamoja na kutoa manukato wanazingatia pia manukato hayo kuwapatia joto.
Manukato haya huwa mazito kwa kimiminika chakra na hata rangi.
Kwa kiwango kidogo makampuni ya manukato hutengezeza manukato kwa ajili ya kipindi kifupi sana cha Hali ya joto kule kwao.
Kwa vile, soko halichagui manukato hayo kutoka Magharibi huja huku kwetu ambako kipindi kirefu cha mwaka ni hali ya joto.
Maelezo hayo hapo juu yana athari kubwa sana kwenye utendaji kazi wa manukato kwa watumiaji pale unapotumia manukato hayo bila kuzingatia hali ya kipindi husika hivyo kupelekea malalamiko au kuathiri utendaji kazi wa manukato kwa mtumiaji.
Utakuta mtu wa Tanzania anatumia manukato yaliyotengezezwa kwa ajili ya mazingira ya baridi badala ya manukato ya yaliyotengezwa kwa ajili ya mazingira ya joto au kutumia manukato yaliyotengezezwa kwa ajili ya mazingira ya joto kwenye maeneo yenye baridi kali.
Kwa wale ambao wanafanya kazi kwenye mazingira ya ubaridi kama vile kwenye ofisi zenye viyoyozi au baadhi ya mikoa yenye hali ya hewa yenye ubaridi kwa kipindi kirefu hawa hawana shida.
Hayo tu kwa leo.
 
IMG_2938.jpg

IMG_2938.jpg

Wadada niko na mzigo wa Body mist original kabisa kwa ajili yenu @30,000-35,000
a762b39b-ddb6-4c4a-b0d9-ee50c1ff94d7.jpg

487bb708-7761-4868-ae4a-f203884a02b3.jpg

22d8560f-e401-4fd0-bfe1-2ef2b74b9074.jpg

IMG_2741.jpg

IMG_2741.jpg
 
My best male Perfume 2023

1. Blue Channel
2. Percival
3. Baccarat Rouge 540
4. Hugo Energizer
5. One million
6. Lacoste essential
7. Invictus
8.Hugo boss
9. Black orchid
10. Pi Givenchy
hii percival ikoje? nishasikiaga tu sifa zake
 
My best male Perfume 2023

1. Blue Channel
2. Percival
3. Baccarat Rouge 540
4. Hugo Energizer
5. One million
6. Lacoste essential
7. Invictus
8.Hugo boss
9. Black orchid
10. Pi Givenchy
Dior savaige mbona haipo
 
Saint Anne Hebu njoo unipropozie perfumes Safi moja Yenye kunukia Vizuri kama Mpalestina au Muisrael safi ebu niambie nzuri ipi na bei zake na ntaipataje
 
Perfumes nzuri zipo nyingi sana
Inategemeana na mtu mwenyewe anataka ipi kulingana na jinsi anavyonusa.
Za kiume nzuri yaani nataka harufu fulani hivi ila isiwe kali sana yaani imepoa fulan hivi na iwe inaweza kubaki angalau kwa muda fulan isiwe kama kuna perfumes moja niliwahi kununua ukipuliza asubh mchana huna...
 
Za kiume nzuri yaani nataka harufu fulani hivi ila isiwe kali sana yaani imepoa fulan hivi na iwe inaweza kubaki angalau kwa muda fulan isiwe kama kuna perfumes moja niliwahi kununua ukipuliza asubh mchana huna...
Zinazokaa muda mrefu labda nunua za kupima.
Zinashikilia nguo hata ukifua bado inanukia.


Cool water
Sauvage
Lacoste
Blew chance
Manly man
Black opium
Yaani nzuri ni nyingi mno
 
Back
Top Bottom