Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Lacoste white nzuri sana kuliko Cool water
Club de Nuit unyama ni mwingi
Ni noma hii ngoj nijichange niibebe tena [emoji91][emoji91]
20231209_151513.jpg
 
Aventos imekua popular, few compliments.

Mnaopenda kunukia,kizuri kula na wenzio.

Vunja kibubu,go for lacoste white utanishukuru baadae, akuna cha aventus by creed sijui mdudu gani...
Unataka kunukia,mnunue huyu mnyama lacoste original sio clone(sijui kama ipo)ama ya kupima..
Popote utakapo ingia ni wewe tu,ofisini ni wewe tu,kwenye daladala ni wewe tu hakuna mwingine,kabatini,room kila sehem ni wewe tu,hata ukifua wakikatiza kwenye kamba ni harufu yako tu ya kupendeza...everywhere it's only you.
Compliments kama zote.hakika hutajutia.

For now my best choices ni lacoste white na I'm the king.
Vunja kibubu mzee mchukue huyu mnyama wa kishua sana.
Naweka kalamu chini.
Adios
So far nataka niirejee
 
Ni kitambo sijaingia humu,
Naona recommendation zangu zinafanya kazi(Great)
Nilete mrejesho so far nilipofikia for now.

Bado black opium + cool water iko juu.
Bitter peach [emoji527] hii kitu ina harufu ya kizungu sana(kiboss boss) kama nilivyosema huko juu, ila sii kwa ajili ya kila mtu...tafuta sample uijaribu kwanza kama ujanunua usije nilaumu...

For now natumia "The only one" ya kupima, inakaa sana na haikeri labda ujimwagie nyingi..

Six spray, I'm good to go.
 
Nipe chimbo lako kaka la hizo za kupima unaponunua nikuige [emoji1666]
 
Bitter peach [emoji527] hii kitu ina harufu ya kizungu sana(kiboss boss) kama nilivyosema huko juu, ila sii kwa ajili ya kila mtu...tafuta sample uijaribu kwanza kama ujanunua usije nilaumu...

For now natumia "The only one" ya kupima, inakaa sana na haikeri labda ujimwagie nyingi..

Six spray, I'm good to go.
[emoji1] mi kuspray kdg ndo kitu cwez..mimi najispray nying mpk mtaa wa 7 waiskie [emoji1]
 
Back
Top Bottom