Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
- Thread starter
- #41
mh hizi pesa za majini ukiumwa zinayeyuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa anaitwa mshana... yeye ni expert wa mambo haya. Msubiri atakuja
mkuu mimi ni mfanya biashara angalia hapa www.jajojo.com sijawahi kwenda kwa mchawi na naendelea vizuri sana. Ushauri- Ukikaa na mwizi utaiba pia, ukikaa kwa kinyozi utakatwa nywele siku moja. Hivyo achana na hao watu wanao husisha biashara na uchawi. Tafuta marafiki wapya wasio na imani hizo. Utafanikiwa tu, Kama mimi nimeweza kwa nini wewe ushindwe!.Mkuu unayaweza yote katika Mungu anayekutia nguvu za kufanya kazi/biashara kwa bidii.
Uchawi ndo habari ya Mujini mpaka pesa zinaoshwa chezea Invisible Science wewe. ROGWA KWANZA NDO UTAJUA UCHWAWI AU UCHAWI HUPO AU HAUPO.
Nshafika tayari
Hakuna biashara ya halali kwa asilimia mia nyingi ya biashara ni za dhuluma mbalimbali, kukwepa kodi wizi na ushirikinaMkuu wewe unaijua vizuri hii science je ni lazima uchawi uhusike kwenye biashara ndipo ufanikiwe ALIYEJIZINDIKA NA ASIYEFANYA HIVO wana nguvu tofauti hata kama huyu asiye atajitahidi kufuata kanuni zote za biashara hataweza kumfurukuta kwake huyu wa ndumba?
Hakuna biashara ya halali kwa asilimia mia nyingi ya biashara ni za dhuluma mbalimbali, kukwepa kodi wizi na ushirikina
Hapana hili siwezi kulisemea kwakuwa kuna wengi wana biashara zisizohusika kabisa na uchawihapo umezingumzia biashara kubwa tu okay tukirudi kwenye ushirikina biashara haiwezi kufanikiwa bila ushirikina kuhusika na unaamini wafanyabiashara wakubwa wote ni washirikina?
Na ndio maana nikasema ingekuwa na nguvu tungekuwa tunafanikiwa. Timu zetu za mpira zinasifika kwa ushirikina lakini wanafika wapi?
Hakuna utafiti wenye kuonyesha direct correlation ya uchawi na mafanikio. Na hakuna utafiti wenye kuonyesha kuwa bila uchawi hutofanikiwa.
Na tunawaona wengi wanafanya ushirikina lakini hawafanikiwi.
CONCLUSION: Ni upotezaji muda ku spent time na energy yako katika mambo haya wakati unaweza kutumia muda wako katika kujifunza jinsi gani ya kutatua changamoto unazokumbana nazo.
Hapana hili siwezi kulisemea kwakuwa kuna wengi wana biashara zisizohusika kabisa na uchawi
Acheni kupotosha watu. Tangu lini biashara ikaenda bila uchawi.. Nyie mnacheza nyie!!!
Biashara bila uchawi haiendi. Anaye fanya biashara bila uchawi anafanya biashara kitoto.
Biashara bila uchawi haiendi. Anaye fanya biashara bila uchawi anafanya biashara kitoto.
yethuuuu na maria n mumewe yeseph!!!bkharesa unamjua vizuri wewe!!!ko Bakhresa kafika pale kwa ajili ya uchawi huoni humu wote wanaupinga uchawi TUAMBIE WEWE KWANINI ISIENDE mganga hana kitu unamtegemea huyo huikuzi biashara kisa ndumba zipo UNATUMIA NDUMBA WEWE UACHE
mungu akituweka hai siku utakuja kutoa ushahidi hpa.binafsi si mfanya biashara kivile.il nliyoyashuhudia na kuyaona kw wafanybiashara wakubwa yanatisha mno.kisa nikaachana kbisa na biashara na kuwaza project zingine.yapo mengi sana.siku ukiruhusu akili yako kuyajua utayajua tu na utachagua kukimbilia kanisni au kwa babu.!!ila chunga imani yako muamini mungu wko na amini wachawi na wchawi hawatokutisha.ukiyumba tu basi utaja simulia tu hata kwenye kipindi cha njia panda.hiyo haijalishi mkuu mimi siamini baishara lazima ndumba ihusike ni kujipofusha macho labda hawa chuma ulete naamini wapo lakini hawa hawawezi kuiba zaidi ya elfu 50 TUSIWANYENYEKEE WAGANGA kwanza wewe unatumia ndumba tueleze umefanikiwa kiasi gani na hizo ndumba Bakhresa hana hiyo ubunifu ndo umemfikisha pale
mungu akituweka hai siku utakuja kutoa ushahidi hpa.binafsi si mfanya biashara kivile.il nliyoyashuhudia na kuyaona kw wafanybiashara wakubwa yanatisha mno.kisa nikaachana kbisa na biashara na kuwaza project zingine.yapo mengi sana.siku ukiruhusu akili yako kuyajua utayajua tu na utachagua kukimbilia kanisni au kwa babu.!!ila chunga imani yako muamini mungu wko na amini wachawi na wchawi hawatokutisha.ukiyumba tu basi utaja simulia tu hata kwenye kipindi cha njia panda.
hebu fikiria hawa ndugu zetu wa asili ya asia.unakuta mtu anamali nyingi sana.magari viwanda na kila takataka.ila akifa yeye tu.sio management yake au ndugu zake wanaoweza kuziendeleza zile mali.tunawashuhudia wengi sana kwenye jamii yetu.unahisi kwa nini???tembelea mikoani utawaskia alafu jaribu kuadadis kwa nini inakuwaga ivyo!!asante mkuu wewe muhanga wa ajira kama mimi acha niingie tu ingawa nimeambiwa wengi wanashiriki ushirikina hata kama humu wameongopa ila nami upande wangu toka mwanzo siamini uchawi NINAZIDI KUOMBA NIJE NISIMULIE KUFANIKIWA KWA KUTOKUWA MMOJA WA HAO
kuna biashara zitakushawishi ujihusishe na imani sana hizi yangu haimo na kikubwa mimi simo humo MUNGU YUPO
hebu fikiria hawa ndugu zetu wa asili ya asia.unakuta mtu anamali nyingi sana.magari viwanda na kila takataka.ila akifa yeye tu.sio management yake au ndugu zake wanaoweza kuziendeleza zile mali.tunawashuhudia wengi sana kwenye jamii yetu.unahisi kwa nini???tembelea mikoani utawaskia alafu jaribu kuadadis kwa nini inakuwaga ivyo!!