Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

Kuna jamaa anaitwa mshana... yeye ni expert wa mambo haya. Msubiri atakuja

expert wa ndumba hii dunia duuuuuuuh Okay atusaidie ndio maana maduka mengi yanakuwa na paka wote uchawi ule duka lote linaungua paka anatoka mzima
 
mkuu mimi ni mfanya biashara angalia hapa www.jajojo.com sijawahi kwenda kwa mchawi na naendelea vizuri sana. Ushauri- Ukikaa na mwizi utaiba pia, ukikaa kwa kinyozi utakatwa nywele siku moja. Hivyo achana na hao watu wanao husisha biashara na uchawi. Tafuta marafiki wapya wasio na imani hizo. Utafanikiwa tu, Kama mimi nimeweza kwa nini wewe ushindwe!.Mkuu unayaweza yote katika Mungu anayekutia nguvu za kufanya kazi/biashara kwa bidii.

asante sana mkuu nashukuru mimi nimezitupilia mbali hizi imani zao Nafurahi kuwasikia mlio uwanjani hamuungi mkono haya wanatutisha sana na ndumba zao tunaishia kuwa watumwa kwa kuishi kwa kuajiriwa thanks BARIKIWA SANA HUKO MBEYA HIYO MY DREAM BUSINESS WILL COME TOO
 
Uchawi ndo habari ya Mujini mpaka pesa zinaoshwa chezea Invisible Science wewe. ROGWA KWANZA NDO UTAJUA UCHWAWI AU UCHAWI HUPO AU HAUPO.

WENGINE HAMJAROGWA IMANI ZENU tu zimewapeleka huko mtu kila siku kwa mganga hata kufanikiwa hufanikiwi upo vile vile tu miaka yote NA UKIFANIKIWA UKIKOSEA MASHARTI VYOTE VINAPUKUTIKA
 
Nshafika tayari

Mkuu wewe unaijua vizuri hii science je ni lazima uchawi uhusike kwenye biashara ndipo ufanikiwe ALIYEJIZINDIKA NA ASIYEFANYA HIVO wana nguvu tofauti hata kama huyu asiye atajitahidi kufuata kanuni zote za biashara hataweza kumfurukuta kwake huyu wa ndumba?
 
Hakuna biashara ya halali kwa asilimia mia nyingi ya biashara ni za dhuluma mbalimbali, kukwepa kodi wizi na ushirikina
 
Hakuna biashara ya halali kwa asilimia mia nyingi ya biashara ni za dhuluma mbalimbali, kukwepa kodi wizi na ushirikina

hapo umezingumzia biashara kubwa tu okay tukirudi kwenye ushirikina biashara haiwezi kufanikiwa bila ushirikina kuhusika na unaamini wafanyabiashara wakubwa wote ni washirikina?
 
hapo umezingumzia biashara kubwa tu okay tukirudi kwenye ushirikina biashara haiwezi kufanikiwa bila ushirikina kuhusika na unaamini wafanyabiashara wakubwa wote ni washirikina?
Hapana hili siwezi kulisemea kwakuwa kuna wengi wana biashara zisizohusika kabisa na uchawi
 
Na ndio maana nikasema ingekuwa na nguvu tungekuwa tunafanikiwa. Timu zetu za mpira zinasifika kwa ushirikina lakini wanafika wapi?

Hakuna utafiti wenye kuonyesha direct correlation ya uchawi na mafanikio. Na hakuna utafiti wenye kuonyesha kuwa bila uchawi hutofanikiwa.

Na tunawaona wengi wanafanya ushirikina lakini hawafanikiwi.

CONCLUSION: Ni upotezaji muda ku spent time na energy yako katika mambo haya wakati unaweza kutumia muda wako katika kujifunza jinsi gani ya kutatua changamoto unazokumbana nazo.

Acheni kupotosha watu. Tangu lini biashara ikaenda bila uchawi.. Nyie mnacheza nyie!!!
 
Hapana hili siwezi kulisemea kwakuwa kuna wengi wana biashara zisizohusika kabisa na uchawi

asante sana Mshana maana wewe unavijua vizuri hivi vitu kwa tusio viamini tuonapo kuna biashara hazina uchawi ni furaha thanks much mkuu BUT MIMI NAHISI WANAOTEGEMEA NDUMBA WANAZIUA BIASHARA ZAO pasipo kujua maana hawazi chochote zaidi ya kutegemea iwe isiwe nitauza
 
Acheni kupotosha watu. Tangu lini biashara ikaenda bila uchawi.. Nyie mnacheza nyie!!!

ko Bakhresa kafika pale kwa ajili ya uchawi huoni humu wote wanaupinga uchawi TUAMBIE WEWE KWANINI ISIENDE mganga hana kitu unamtegemea huyo huikuzi biashara kisa ndumba zipo UNATUMIA NDUMBA WEWE UACHE
 
Biashara bila uchawi haiendi. Anaye fanya biashara bila uchawi anafanya biashara kitoto.

HUO uongo kwani zote zina uchawi imani yako hiyo eti biashara bila uchawi innevitable ina maana zote zilizofanikiwa ni wachawi
 
Kwenye biashara nyingi UCHAWI ni 100%
 
ko Bakhresa kafika pale kwa ajili ya uchawi huoni humu wote wanaupinga uchawi TUAMBIE WEWE KWANINI ISIENDE mganga hana kitu unamtegemea huyo huikuzi biashara kisa ndumba zipo UNATUMIA NDUMBA WEWE UACHE
yethuuuu na maria n mumewe yeseph!!!bkharesa unamjua vizuri wewe!!!
 
hiyo haijalishi mkuu mimi siamini baishara lazima ndumba ihusike ni kujipofusha macho labda hawa chuma ulete naamini wapo lakini hawa hawawezi kuiba zaidi ya elfu 50 TUSIWANYENYEKEE WAGANGA kwanza wewe unatumia ndumba tueleze umefanikiwa kiasi gani na hizo ndumba Bakhresa hana hiyo ubunifu ndo umemfikisha pale
mungu akituweka hai siku utakuja kutoa ushahidi hpa.binafsi si mfanya biashara kivile.il nliyoyashuhudia na kuyaona kw wafanybiashara wakubwa yanatisha mno.kisa nikaachana kbisa na biashara na kuwaza project zingine.yapo mengi sana.siku ukiruhusu akili yako kuyajua utayajua tu na utachagua kukimbilia kanisni au kwa babu.!!ila chunga imani yako muamini mungu wko na amini wachawi na wchawi hawatokutisha.ukiyumba tu basi utaja simulia tu hata kwenye kipindi cha njia panda.
 
asante mkuu wewe muhanga wa ajira kama mimi acha niingie tu ingawa nimeambiwa wengi wanashiriki ushirikina hata kama humu wameongopa ila nami upande wangu toka mwanzo siamini uchawi NINAZIDI KUOMBA NIJE NISIMULIE KUFANIKIWA KWA KUTOKUWA MMOJA WA HAO
kuna biashara zitakushawishi ujihusishe na imani sana hizi yangu haimo na kikubwa mimi simo humo MUNGU YUPO
 
hebu fikiria hawa ndugu zetu wa asili ya asia.unakuta mtu anamali nyingi sana.magari viwanda na kila takataka.ila akifa yeye tu.sio management yake au ndugu zake wanaoweza kuziendeleza zile mali.tunawashuhudia wengi sana kwenye jamii yetu.unahisi kwa nini???tembelea mikoani utawaskia alafu jaribu kuadadis kwa nini inakuwaga ivyo!!
 
HAPO SHIDA IPO KWENYE MANAGEMENT MKUU usimamizi wa mali ni tofauti plus uchungu hawa wengine wanafuja matumizi ovyo ndio maana zinafirisika HEBU JIULIZE MOHAMED DEWJI kaweza kuikuza kampuni la baba yake kuzidi lilipokuwa mikononi mwa Gulam Dewji baba ake ko huyu mtoto kafanya uchawi
kaboresha management ndio maana kafanikio UCHAWI NI DHANA TU YA NYONGEZA MSAADA WAKE MDOGO SANA
 
Back
Top Bottom