Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Dactari kijana Sina mambo mengi Tena yanayo husiana na Kagera ndio nipo nayo mbali mbali 😀


Naendelea vyema kabisaa mafua yamepona pia kuhara kumeisha.. Hali ya kuharisha ilinichukua siku mbili nipo powaa currently.

☺️😊
Mhm.!! Lete vipimo tuhakikishe hapa usitupange 😹😹😹
 
Yani covid ni ugonjwa mbaya. Kukiondoa mafia ina smbatana na kukatisha na kukosa hamu ya kula.

Na kweli ikikukuta umdhoofu inaondoka na wewe.
Ndio shida Inakuja Hali fulani hata Uletewe kitu kinacho Nukia Vizuri unaona kama kinyesi tu kh!
Huu ugonjwa Hatari sana
 
Ndio shida Inakuja Hali fulani hata Uletewe kitu kinacho Nukia Vizuri unaona kama kinyesi tu kh!
Huu ugonjwa Hatari sana
Walahi tena, hata kunywa maji shida.
Huu ugonjwa si wa kumuombea hata adui yako
 
Mafua kwangu ni ugonjwa mkuu sitaki hata kuusikia.

Hayo mafua nimeugua kwa wiki 2 na nusu.

Mara nyingi aina hiyo ya mafua hunipata miezi ya mwishoni mwa mwaka. Mwezi wa 10 wa 11 au 12.

Mwaka huu nimeyapata mwezi huu wa 10.
Ni sahih kabisa. Hata mie tangu imeingia corona basi kila ifikapo mwisho wa mwaka kuanzia Nov naumwa km vile.
Mkuu tumia na dawa za nyumbani za hospital pekee hazitoshi.
Km asali na manjano mbichi nzuri inasaidia Km antibiotics
 
Hii kitu nikihisi tu dalili nanunua.
Nzuri sana na ina cover aina zote za colds
 

Attachments

  • 20241029_154937.jpg
    20241029_154937.jpg
    220.4 KB · Views: 3
Mimi tangu 2019 ikifika hii miezi kuna asilimia kubwa nakimbizwa na mafua. Kuanzia mwezinwa 10, 11 mpaka 12. Hiyo miezi huwa napata mafua makali sana.
Mwaka 2019 walishatoa mwongozo kuwa kutokana na hali ya hewa na sababu zingine za kitaalamu. Kama kuna mtu ana waraka wake anaweza akatusaidia.

Waliainisha na miezi husika nayo ni kuanzia mwezi wa 10 mpaka 12.
Sahih kabisa.
Mwaka jana mwezi wa 10 tuliambiwa kimeingia malaria. Na ukweli ni kwamba iliondoka na watu wengi sihaba. Vijana na wtt maskini ndio iliondoka nao sn.
Na mwaka huu tayari mafua na vifua. Kila umsikiae anaumwa same style
 
Back
Top Bottom