Mjukuu wa Magika
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 550
- 1,071
Endelea kujifukiza mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni O negative..Mimi na group O na siuguagi ovyo ovyo yaan mafua ni BALAA wiki 3 Mimi pia plus kuharisha Kama Bata yaan nilikua kifua kinauma, mafua naishiwa nguvu, loss appetite's
Mpaka nikaogipa Ila now alhamdudilah naendelea vyema mafua Yana ishilia ishilia.
Aah. Nilidhani GRIDI YA TAIFA, kumbe CRESTANdugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.
Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!
Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
View attachment 3134244
Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.
Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
Mimi tangu 2019 ikifika hii miezi kuna asilimia kubwa nakimbizwa na mafua. Kuanzia mwezinwa 10, 11 mpaka 12. Hiyo miezi huwa napata mafua makali sana.Hali ya hewa yenyewe ni mbovu kweli, ikifika miezi hii lazima usikie vilio...
Mwaka 2019 walishatoa mwongozo kuwa kutokana na hali ya hewa na sababu zingine za kitaalamu. Kama kuna mtu ana waraka wake anaweza akatusaidia.Nadhani serikali iingilie kati hili suala kupitia Wizara ya afya wabaini eneo husika lenye cases hizi, wapige quarantine huku uchunguzi ukiendelea kubaini shida ni nini.
Vinginevyo yanaweza kutokea maafa tukashidwa kuyadhibiti hali ikawa mbaya zaidi.
Mkuu tuanzie hapo ulikuwa unaharisha Kama bataMimi wiki ya 3 na mafua makali Sanaa na tangu jumamosi nimekua naharisha Kama Bata mpaka naogopa
Kwa Sasa mafua yamepungua na kuhara kumepungua Ila Kuna mafua makali Sanaa Sanaa ni BALAA Sanaa nakubaliana na wewe
Pembeni yangu hapa Kuna watu nimekaa nao wanakohoa Sanaa
Is it Perfume Poisoning Attack attempt?Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.
Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!
Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
View attachment 3134244
Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.
Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
Ni kweli kabisa mkuu,Mimi ni O negative..
Huwa nasumbuliwa na allergies tu!
Mara yangu ya mwisho kuumwa ni 2012 tena nilikuwa shule nilipata Malaria. Ila mafua kwangu ni ugonjwa tishio sana!
Hata kabla ya corona huwa naugua kwa wiki 2 mpaka 3.
Nikifanya masihara nalala huku napumua kwa mdomo, kichwa kitauma, miguu inakufa nguvu, napoteza hamu ya kula, joto la mwili huwa juu. Mafua huwa yananipelekesha kweli kweli.
Mafua nayaogopa sana!
Na kingine jua! Jua siliwezi. Nikipigwa na jua kali lile la mchana napata homa. Najisikia vibaya mnoo!
Kwa upande wangu nimepitia hali hiyo mpaka nikafifika mahala nikasema heri waliokufa.Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.
Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!
Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
View attachment 3134244
Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.
Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
Ni kweli kabisa mkuu,
Kuna jamaa mmoja hapo juu nimemwambia watu wenye group O wanaweza kukaa muda mrefu bila kuugua yeye anabisha anasema Ni story za mitaani ananitajia kua kasoma MUHAS nikaona nimpuuze TU maana ndio busara nilivyo ichagua.
Chunguzi/ tafiti zinaonyesha kua watu wa group O ni vigumu kuugua ugua compared na group zingine za damu
Dunia inaenda mbali Sana wataalam wanafanya chunguzi za IQ ku relate na blood group na imegundulika watu wa group A Wana IQ kubwa Ila Bado chunguzi zinaendelea.
Sisi tumesimama na askofu gwajima na hayati magufuli.mlichoma chanjo lakini?
SAHIHI SANA MKUU.Mimi ni blood group A, lakini naungana nawe kuwa group O ni resistance kwenye maradhi. Hawaugui hovyo.
Anayebisha ni msela wa kijiweni tu hajishughulishi kufanya tafiti
Mimi wa group A nikikaa na wa group O usiku, mbu wanaanza kula damu yangu kuliko yake.SAHIHI SANA MKUU.
Da pole sanaKwa upande wangu nimepitia hali hiyo mpaka nikafifika mahala nikasema heri waliokufa.
Nilibanwa na kifua na pumzi zikawa zinatoka kama filimbi, nilikimbilia hospitali kwa miguu saa nane usiku.
Hii flu kali imekuja na UTI na kifua. Yaani wanatuua huku tunajiona
Mimi poa imenichapa hii ila mi sikupata mafuanbadala yake nikapata kikohozinkikavu kikali kilivjoambatana na koo kuwasha na vjafya kali kilichodumu kwa zaidi ya wiki na kichwa kuniuma kila siku asubuhi, usiki ni jasho jingi mno kama nimemwagiwa maji, natumia asali kitunguu saumu tangawizi na zecuf saiv kikohozi kimelainika angalau na kimepunguaNdugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.
Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!
Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
View attachment 3134244
Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.
Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
Mimi nimepigwa wiki 3 zilizopita na nikamwambia mtu hii ni COVID ,kumbe na mdogo wangu nae yupo hoi anajitibu anavyojua. Mafua makali sana, kupumua ni kwa shida, mwili unakosa nguvu. Nikachukua tangawizi za kutosha, changanya limao, pilipili mwendokasi, katakata vitunguu, nikaweka kwenye sufuria kubwa nikachemsha vikachemka nikajifukiza, usiku huohuo nikaanza kupumua vizuri na kupata nafuu. Keshokutwa yake nikarudia ndo nikarudi barabarani. Hii kitu imepiga wengi, ila ni kimyakimya haitangazwi na ikikukuta umelegea inakuondoa fasta.
Seriously.... Sikuwa nafahamu hili jamboUviko -19 imerudi Mtaani, lakini Mamlaka hazijaruhusu itangazwe.
Kila mmoja achukue tahadhali huko alipo.
Yani covid ni ugonjwa mbaya. Kukiondoa mafia ina smbatana na kukatisha na kukosa hamu ya kula.Mimi wiki ya 3 na mafua makali Sanaa na tangu jumamosi nimekua naharisha Kama Bata mpaka naogopa
Kwa Sasa mafua yamepungua na kuhara kumepungua Ila Kuna mafua makali Sanaa Sanaa ni BALAA Sanaa nakubaliana na wewe
Pembeni yangu hapa Kuna watu nimekaa nao wanakohoa Sanaa
Wameona bora wakae kimya kunusuru Uchumi wa Nchi.Seriously.... Sikuwa nafahamu hili jambo