Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.

Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!

Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
View attachment 3134244

Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.

Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
Kweli mungu mkuu, asubuhi hii nimepita kwa mashaka mtaani kwako lakini sijaona turubai.
 
Hakika imerudi
Hata huku mamtoni..tumeelekezwa vituo vya kupata msaada..dharura....pamoja na kudungwa sindano....
1729825019607.png
 
Hali hii ipo Dar es Salaam kwa Sasa , Mimi yamenikuta mafia na kikohozi kikali.
 
Nadhani serikali iingilie kati hili suala kupitia Wizara ya afya wabaini eneo husika lenye cases hizi, wapige quarantine huku uchunguzi ukiendelea kubaini shida ni nini.

Vinginevyo yanaweza kutokea maafa tukashidwa kuyadhibiti hali ikawa mbaya zaidi.
Itaingilia kati vipi wakati mpaka mama Samia ameuguwa na wameuchuna tu.

Tazama speech yake ya Nyerere day alivyokuwa anakohowa na uchovu asiye mchangamfu.
 
Hali hii ipo Dar es Salaam kwa Sasa , Mimi yamenikuta mafia na kikohozi kikali.
Nunuwa almint weka kwenye tangawizi, huu upepo mbaya sana, kikohozi chake ukikohowa unabanja na unaumia sana, mimi ilibidi niwe nalala na kopo la kutemea makohozi mazito usiku, halafu inakuja na homa kali usiku.
 
Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi
Hahaha nimecheka
 
Mafua na kuharisha tena? 😹😹
Pima na wadudu wale walioanzia kagera
Dactari kijana Sina mambo mengi Tena yanayo husiana na Kagera ndio nipo nayo mbali mbali 😀 Naendelea vyema kabisaa mafua yamepona pia kuhara kumeisha..

☺️😊
 
Mafua na kuharisha tena? 😹😹
Pima na wadudu wale walioanzia kagera
Dactari kijana Sina mambo mengi Tena yanayo husiana na Kagera ndio nipo nayo mbali mbali 😀
Poleni sana...we uliesema unaharisha kama bata unaendeleaje?

Naendelea vyema kabisaa mafua yamepona pia kuhara kumeisha.. Hali ya kuharisha ilinichukua siku mbili nipo powaa currently.

☺️😊
 
Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.

Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!

Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
View attachment 3134244

Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.

Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
...inaendeleaaaa
 
Kvant
Kinyagi
Whisky
Soln

Smartgina at ur ownrisky
 
Back
Top Bottom