Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu naona hapo kwenye picha yako umeteseka sana, maana mpaka umevua shatiNdugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.
Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!
Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
View attachment 3134244
Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.
Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
Inasaidia kwenye matatizo kama hayo!Kwann
Youtube!! Kuwa serious.Uwe na evidences sio maneno MATUPU a k.a porojo..
Nenda kafanye studies hata you tube kuhusu blood group. A,B ,AB, O.
Waafrika sio kila kitu mpaka tukumbushwe na ugonjwa. Moja kati ya tamaduni zetu ilikuwa ni kujifusha/kujifukiza. Usasa ndio umesababisha tuachane na hii tamaduni yetu. Lakini punde tu tutarudi kule kule kwenye tamaduni zetu ambazo mababu na mabibi zetu walikuwa wakitufanyia.Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.
Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!
Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
View attachment 3134244
Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.
Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
Kule utafundishwa kwa slides utaelewa kwa urahisi..Youtube!! Kuwa serious.
Unakuwa mwepesi sana kuamini conspiracies za watafuta views youtube. Mitandaoni ingia na akili zako, usitegemee utazikuta huko huko.Kule utafundishwa kwa slides utaelewa kwa urahisi..
Au ingia google search WWW.SLIDESHARE.COM mbele andika kitu unacho search
Mkuu,
Unadhani Kuna kitu ambacho uta search 🔍 YouTube ukakikosa??
Unajua unachati na layman si ndio ?? JSTOR unaijua ? Katafute article kwenye international journal ujisomee tafiti mbali mbali sawaUnakuwa mwepesi sana kuamini conspiracies za watafuta views youtube. Mitandaoni ingia na akili zako, usitegemee utazikuta huko huko.
Miaka yangu niliyokaa MUHAS sijawahi kukutana na hizo stori zako za vijiweni. Wasalaam.Unajua unachati na layman si ndio ?? JSTOR unaijua ? Katafute article kwenye international journal ujisomee tafiti mbali mbali sawa
Wasalaam.
Haya ndio useme hizo tahadhari walizotoa, mpaka watu waje kulalamika mitandaoni, yeye waziri yuko wapi...she is incompetent I have said it,likikuuma baki nalo...unasema sio fani yangu jennista na udaktari wapi na wapi....na utaona km atatoa tahadhari yoyote...Ni rahisi ukiwa nyuma ya keyboard kujiona mwerevu hata katika vitu ambavyo si fani yako na kuanza kuwaita watu incompetent.
Kwa kufuatilia press za wizara ya afya, umeona kuna tahadhari gani zimetolewa na zinaendelea kutolewa? Unaangalia au kusikiliza habari?
Na kutangaza kuna taratibu zake kwa mujibu wa miongozi ya wizara na Shirika la Afya Duniani. Kuna wataalamu ndio kazi zao hizo
Hapa watu wanataja Dalili ambazo hata seasonal flue inayosababishwa na virus wengine wanaofanana na Covid na H Influenza wanababisha.
Lakini hujui sasa hivi wako katika hatua gani za kufatilia.
Wizara ndio imedhibiti Mpox haijsambaa kama majirani zetu sio far, na liko wazi wanatoa taarifa kila siku. Sasa hivi wanapambana na Marbug.
Be responsible Citizen, usipende tu kubeza kila kitu kwa kuongozwa na hisia za kisiasa.
Tulikuwa tunafukizwa tukiwa wadogo, hadi mkojo unatoka. Naada ya hapo , homa kwishaTafuta maviya tembo makavu, halafu yachome kwenye moto,ule Moshi jifukize nao itakuja nishukuru
Mimi nilichoma Johnson.Ngoja nikachanje tena. Ile ya Johnson walisema inakaa miaka mitatu.
Mimi mpaka sasa najihisi kuumwa, mwili wote, nikiamka asubui najilazmisha tu kutoka, mafua makali ila Leo afadhali na sijatumia kitu chochte,.Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha
Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena.
Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo.
Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda.
Ghafla naanza kuona kila kukicha hali inazidi nikaona Wacha nikacheki Afya Kulikoni ,
Nilicho Ambiwa Nikama Nilivyo tarajia Nimagonjwa yetu yale yale yasikuzote.
Nikachukua Dozi kama kawaida webwana wee kumbe ndio kama Natia Petrol Mtungi wa Gesi !!
Nikaanza Bubujikwa na Mafua Mepesi, Siwezi Kupumua mara Kifua Kinabana, Kikohoo Kikavu kama Nakatwa katwa Kifuani na Koo.
Usiku nikaomba nikimbizwe Hospital nimekaa siku 3 wapi!
Sijawahi Ugua mafua kama Haya Tokea Nimeletwa Katika Sayari hii.
Wakati nipo hospital Nikaomba nirudi nyumban nakuanza Mapigo yale ya 2019.
View attachment 3134244
Hapa nikaanza kuhisi nipo Duniani.
Familia Yote Mambo yakawa moto kumbe bwana Mtaa mzima ndio kilio Kikuu.
Kuna Familia Mama,Watoto 2 baba Wote Hali ni Tete.
Haya mafua Nikwetu tu
Tuwe makini Nduguzangu.
Nani anakurudisha Unarudishwa na Gonjwa lenyeweTafadhali msiturudishe tena Misri. Ule upepo ulishapita.
Walinzi hawakuona yalipopitia Hadi kwa mlengwa.Pole.
Mafua yaliondoka na Papa mmoja hivi.
Ni ugonjwa mbaya.
Take care yourself.