Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Unajua naambiwa jana alipoleta huyu supplier mshale ulionesha katikati ya kijani. Nadhani wanatumia na wanaleta ishatumika. Nipigie picha nionekinakuwa na mshale nikiwa home nitakipiga picha
Wewe mpare nini?Mie natumia manjis hukaa mda mrefu sema mvivu wa kupika so gesi Ina weza kukaa five months
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie natumia manjis hukaa mda mrefu sema mvivu wa kupika so gesi Ina weza kukaa five months
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua kile kifaa uchomeka pale juu ya mtungi inaonesha gesi kama imejaa na inavyoelekea kuisha pia kama inavuja inarekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja nikiwasha kabla sijawasha jiko nasikia harufu ndio huwa najiuliza hii nini na kwa nini nilikuwa nafikiri huenda kile kizipo labda ndio kinavujisha gesi sijapata jibu hadi sasaOryx inaisha mapema sana halafu inatoa harufu sana ukiiwasha
Hii mada imekaa kipuuzi sana. Na pia nashangaa sijui kwann watu wanaichangia kwa kutoa majibu ya moja kwa moja wakati justificatins ni nyingi
Gesi inaisha kutokana na matumizi yako na ufanisi ( Efficiency) ya miundombinu yako kama jiko (Burner), regulator na pipe fittings.
Ila gesi yote ni moja tuu. Kila kampuni inanunia in bulk ( Kwa jumla) na kuiweka kwenye container (Mitungi) na kuuza rejareja.
Sasa ww unataka gesi amabayo haiishi haraka sijui tukujibuje, unadhani gesi za LPG ni kama Kuni ?
Ok ahsante, kinaitwaje, kinauzwa wapi na bei gani
Mm ndo ninayo dearMihan Gas, nimewaanyooshea mkono. Wale wako poa sana
Acha watu wajadili naona wewe huioni tofauti hata ya bei na ubora ingawa uzito upo sawaHii mada imekaa kipuuzi sana. Na pia nashangaa sijui kwann watu wanaichangia kwa kutoa majibu ya moja kwa moja wakati justificatins ni nyingi
Gesi inaisha kutokana na matumizi yako na ufanisi ( Efficiency) ya miundombinu yako kama jiko (Burner), regulator na pipe fittings.
Ila gesi yote ni moja tuu. Kila kampuni inanunia in bulk ( Kwa jumla) na kuiweka kwenye container (Mitungi) na kuuza rejareja.
Sasa ww unataka gesi amabayo haiishi haraka sijui tukujibuje, unadhani gesi za LPG ni kama Kuni ?
kuna vituo vya kuchakachulia iyo mitungi ( wanapunguza na kujaza kwenye mitungi empty kwa kuiinamisha), solutiion ni kuwa na mzani wako unapima unaponunua, kuna mizani digital ya 150 kg kibao KKoo
mihan kuzid oryX?Mihan mzee. Hasa kama upo dar. Ni chipest sana. Kwa sisi wa mageton mtngi wa kilo 15 tunabadirishia elf 17
Hapo napika miez 3
Matumizi yako yamekaaje Mkuu? Sababu kama ni kigheto gheto waeza kaa nayo hata mwaka.Wewe mtu unatumia mtungi saizi ya kati na unakaa miezi 2 tu????
Mimi natumia kampuni hiyo hiyo, tokea ni nunue mwezi wa 9 mwaka jana mpaka Leo nadunda
Sent using Jamii Forums mobile app
Oryx = 20,000/ 15kg miezi 2 na sikumihan kuzid oryX?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oryx = 20,000/ 15kg miezi 2 na siku
Mihan = 17,000/ 15kg miezi mi3
Mihan 19000 mkuuOryx = 20,000/ 15kg miezi 2 na siku
Mihan = 17,000/ 15kg miezi mi3
Mara nyingi watu wenye hulka kama hizi za kuchukulia mambo kwa upande wa hasi tu wanakuaga na matatizo ya stress za kimaishaHii mada imekaa kipuuzi sana. Na pia nashangaa sijui kwann watu wanaichangia kwa kutoa majibu ya moja kwa moja wakati justificatins ni nyingi