Tujuzane sehemu za bata zinazobamba kwa sasa Dar

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah af starehe za kuunga unga huaga znanoga, hapo home b mkubwa amebana kwenye kona na mkanda wake ukirud kipigo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, umenikumbusha enzi za bills ,ikabidi nihamie hostel ili niruke kwanja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah af starehe za kuunga unga huaga znanoga, hapo home b mkubwa amebana kwenye kona na mkanda wake ukirud kipigo [emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀
na hizo shida ndo raha zenyewe yani...ukisha kula kipigo inakuongezea mzuka wa kutoka siku nyingine😀😀😀
 
Back
Top Bottom