Ndio ni baada ya kua bize kwa kipindi kirefu nikafungua id nyingine baada ya kutokukumbuka id yangu ilopita
Sana mkuu. Ukiingia hutoki bure.Jamii itelligence kuna madini sana kule
Uchaguzi 2015 ulikua na purukushani za aina yake2015 niliingia sababu ya kampeni za uchaguzi,nakumbuka kipindi TCRA wametangaza sheria mpya ya mtandao,nikawa naogopa fb. Niliipenda sana sababu haikuwa uchi kama facebook. Watu walikua wanafunguka sana bila uoga
Santos06 unachanganya mafileSio bize tu yaan in remote areas
Sana, ushindani ulikua mkubwa mno,full kuchafuana matusi kama yoteUchaguzi 2015 ulikua na purukushani za aina yake
Hujui hata history ya JamiiForums, Sasa nikusaidieje?Jambo forums ndo nn😀😀
Bujibuji nitafatiliaHujui hata history ya JamiiForums, Sasa nikusaidieje?
Platinum member ni mwanachama yeyote aliyechangia ukuaji wa JamiiForums. Hata wewe leo hii ukichangia chochote kwa ajili ya kuikuza JF, unakuwa Platinum member papohapo...Wote bado ni expert member,kuna tofauti gani na platnum member?
You just Google, son.Jambo forums ndo nn😀😀
Siku utuwekee thread ya historia ya jf tujifunzeHujui hata history ya JamiiForums, Sasa nikusaidieje?
MzeePlatinum member ni mwanachama yeyote aliyechangia ukuaji wa JamiiForums. Hata wewe leo hii ukichangia chochote kwa ajili ya kuikuza JF, unakuwa Platinum member papohapo...
Nigongee like kama umenielewa uzuri...
APlatinum member ni mwanachama yeyote aliyechangia ukuaji wa JamiiForums. Hata wewe leo hii ukichangia chochote kwa ajili ya kuikuza JF, unakuwa Platinum member papohapo...
Nigongee like kama umenielewa uzuri...
Hupati, bali unatoa ili kuichangia JF ikue zaidi...Ukiwa platnum member kuna ela unapata?
A
Platinum ni ya kulipiwaMwenzako bado post mbili tatu niwe Platnum Member sijui utafika lini?
Bei gani sasa naitaka iyo bejiHupati, bali unatoa ili kuichangia JF ikue zaidi...
Dogo vipi, ulitaka kukomalia fursa?