Tujuze umeanza kutumia JamiiForums tangu lini? Ni kipi kilichofanya ukavutiwa na JF?

2015 niliingia sababu ya kampeni za uchaguzi,nakumbuka kipindi TCRA wametangaza sheria mpya ya mtandao,nikawa naogopa fb. Niliipenda sana sababu haikuwa uchi kama facebook. Watu walikua wanafunguka sana bila uoga
 
Uchaguzi 2015 ulikua na purukushani za aina yake
 
Bei gani
Platinum member ni mwanachama yeyote aliyechangia ukuaji wa JamiiForums. Hata wewe leo hii ukichangia chochote kwa ajili ya kuikuza JF, unakuwa Platinum member papohapo...

Nigongee like kama umenielewa uzuri...
Mzee
 
Ukiwa platnum member kuna ela unapata?
Platinum member ni mwanachama yeyote aliyechangia ukuaji wa JamiiForums. Hata wewe leo hii ukichangia chochote kwa ajili ya kuikuza JF, unakuwa Platinum member papohapo...

Nigongee like kama umenielewa uzuri...
A
 
Hupati, bali unatoa ili kuichangia JF ikue zaidi...

Dogo vipi, ulitaka kukomalia fursa?
Sasa bongo kila kitu fursa, nikajua kuna incentive yoyote maybe...
 
Back
Top Bottom