Tujuze umeanza kutumia JamiiForums tangu lini? Ni kipi kilichofanya ukavutiwa na JF?

Nilijiunda 2010 (kwa ID nyingine) baada ya Ephraim Kibonde (RIP) kuitolea mapovu kwenye kipindi cha Jahazi, sikumbuki walimuudhi nini. So nikawa interested kuijua ndio ikabidi nijiunge
 
Well
 
Nilijiunda 2010 (kwa ID nyingine) baada ya Ephraim Kibonde (RIP) kuitolea mapovu kwenye kipindi cha Jahazi, sikumbuki walimuudhi nini. So nikawa interested kuijua ndio ikabidi nijiunge
Hujawahi kula ban mkuu
 
Nimewahi kama mara 3 miaka ya mwanzomwanzo, nilikuwa napanic sana na mihemko ya kutosha. Sasa hivi naijua vyema jf sidhani kama nitakula ban tena
Zamani ulileta mihemko mods mapema tu wanakushugulikia
 
Huo ni uongo 2009 !!
JamboForums tulikuwa tukitumia majina yetu na email zetu halisi, baada ya like kashkash lililosababisha kikoa Cha JamboForums kufungiwa tukarudi tukiwa na azimio la kutotumia Tena majina yetu halisi na anwani zetu.
Nikaamua kutoka kidogo mtandaoni maana watu wa πŸ•ŠοΈ walikuwa wakiwafuatilia members kwa jicho la πŸ¦….
Nikaishi maisha ya fake I'd ndipo baadae Mwaka 2009 nikatinga na Bujibuji nikaamua nisiwe mtu wa misimamo mikali ila utani na masikhara mengi.
Ndio maana hata Sasa ninayo e mail official ya JamiiForums.
bujibuji@jamiiforums.com
Need I say more?
 
Bujibuji
nilijua ww ni platnum member
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…