Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijasema kuna tatizo, nimetoa angalizoSasa kwani kuna tatizo?
WellMy friend (now SO) wanted to learn Swahili language. He started with Duolingo, and it was a great help. I also taught him what I know.
We tried to search where he can practise Swahili language online. That led me here...I decided to give it a shot, and here I am.
Hiyo tittle unalipwa pesa!!???Mwenzako bado post mbili tatu niwe Platnum Member sijui utafika lini?
Kama code ya Betipawa hiyo au nasema uongo, ukiipeleka kule kwa wana chap wanaruka nayo 😁😁Oh, thank you.
23OCT19.
Huo ni uongo 2009 !!Tuliojiunga enzi za JamboForums tuna comment wapi?
Nimewahi kama mara 3 miaka ya mwanzomwanzo, nilikuwa napanic sana na mihemko ya kutosha. Sasa hivi naijua vyema jf sidhani kama nitakula ban tenaHujawahi kula ban mkuu
Ha ha ha ha panic ilinitesa sanaNimewahi kama mara 3 miaka ya mwanzomwanzo, nilikuwa napanic sana na mihemko ya kutosha. Sasa hivi naijua vyema jf sidhani kama nitakula ban tena
Much love and respect to you😃😃 Bujibuji HomeBOY huyo
Nilikuwa namsoma Ila sio Kama fan wangu.
Kwa sasa nipo karibu yake kila akikunja Kona nipo nae tu.
JamboForums tulikuwa tukitumia majina yetu na email zetu halisi, baada ya like kashkash lililosababisha kikoa Cha JamboForums kufungiwa tukarudi tukiwa na azimio la kutotumia Tena majina yetu halisi na anwani zetu.Huo ni uongo 2009 !!
BujibujiJamboForums tulikuwa tukitumia majina yetu na email zetu halisi, baada ya like kashkash lililosababisha kikoa Cha JamboForums kufungiwa tukarudi tukiwa na azimio la kutotumia Tena majina yetu halisi na anwani zetu.
Ndio maana hata Sasa ninayo e mail official ya JamiiForums.
bujibuji@jamiiforums.com
Need I say more?