SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
Lazima urudi Ubeligiji πtuk tuk try tu tuu tuu tu paaa unapiga bao kubwa linajaza kikombe cha chai
Ajila hiyo haina laana!hapa umekula buku 7 ya Chongolo bure-bure kabisa
Ukisikia daaaaahUnaskiaa bababaaa. Bububububu bebebebe unajua ni Mbuzi mwenye mkono wa Baunsa toka ukwamani kaenda kutoa dokezo Tobo Utapigwa shaba.
Sajenti huu uzi umebeba siasa Ukitaja dagaa watu watajua wamsema Zitto.Ukisikia daaaaah
Usishtuke
Ni dagaa
Unakimbilia wapi.. rudi hapa utoe maelezo vizuri.[emoji28]
Kama upo vile! Yaani mtaani unakatiza, unasikia 'fyiii fyiiii fyiiiii' miluzi kibao, ukitazama nini kinaendelea, unaona mdada, kapiga baibui, ushungi na anaondoka na mikogo balaaa.....huku
Ukisikia tuk tuk tru tru tuu tuuu tuu paaa! [emoji1631][emoji379]yaani mlio ya bajaji na vibodaboda vilivyokosa ka tune-up; yaani mtaa una shughuli
Ndio unasikia makelele 'oh' laana hiyo! 'oh' hamkutokea wakati tunarindimwa na risasi ile 'oh' tumevaa mpaka baibui lakini hamkutuona wala hamkusikia, Mikogo yote ile mkabakia kupiga miluzi tu fyiiii fyiiii fyiii kha mmelaaniwa ninyi!
Mwingine wakati akipokolewa na kusindikizwa naye alikuwa akisikia mirindimo, tuk tuk tuk tru tuu tuu tuu paaa! Yaani alitonyeshwa majeraha
Yule mmoja andai kupigiwa miluzi ni laaana na yule mwingine akisikia tuk tuk tru tu tuu tuu tu paaa! Anasikia mirindimo ya risasi. Anadai Uchina husikii hayo!
Tabu kweli![emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]π
Ajila - AjiraAjila hiyo haina laana!
Huyo hapo hajapewa kamba tuuu. Thubili tu. mMtungi wa Asali upo chini ya dawatiUnakimbilia wapi.. rudi hapa utoe maelezo vizuri. View attachment 2541001
Lafuzi-Lafudhi yakheeeeπAjila - Ajira
Sasa unalobisha ni nini?Kum kumm kumm Kum
Aaaaaaa nin aaaaaaah...
Za coooooo mto a madaaaaaah
....sisiem ndo chanzochahayayote.
haiwezekanikabisaukaandikahivi.
πββοΈ, Ushapita huko? Tuelezee!Kila comment inayokuja, ni ya hovyo kuliko iliyopita. Unaweza kudhani umeingia kwenye wodi za Milembe!