Tukatae ndoa za Jinsia moja - Si utamaduni wetu

Moderator toa hii,

Unakuja kuhamasisha huu ujinga hapa?
 
Hivi hawa machoko wao wanajiona wajanja au unyama?
 
Apps apps ngo nn wewe
Media zenu na wasanii wenu
Wenyewe huko wamejaa top
Mitaani miaka nenda rudi mnaishi nao mitaani...leo pita sinza uone kulivyochafuka

Ova
 
unapoteza muda kumshauri mtu asiwe choko na kinyero cha kwake, atajua mwenyewe. kwa kuwa binadamu alipewa free will, wacha wapelekeane moto. tubaki wachache pis nyingi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kabisa

Ova
 
Unafahamu chochote kuhusu 'Nyumba Ntobu'?

Ova
 
1.Mara ya mwishi ndoa ya jinsia Moja ilitokea wapi hata Tanzania?
2.umeshuhudia ndoa ngapi za jinsia Moja,mtaa/kata/wilaya/mkoa/ndani ya Tanzania
3.wewe ni MP.UMBAVU?
 
Ushoga ulikuwepo na hautakwisha na upo Dunia nzima...Cha msingi mlinde mwanao....na pia mwanaume ambaye siyo shoga hawezi kushawishika kupitia app Wala Alama ya upinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…