Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unajua ukikaa na kuiangalia kazi ya Watumishi wa Mungu utaona ni rahisi sana. Utaona ni kula sadaka tu na kusema pokeeni baraka za Bwana. Kwa kweli watumishi wa kweli wa Mungu hupitia majaribu makubwa sana.
Majaribu hayo yalianza zamani, zama za Adam, Adam aligongewa mke wake na nyoka. Hebu fikiria, mke anatoka kwenye ubavu wako, kila siku mko wote, halafu anatoka nyoka huko porini, anamdanganya mkeo, anambikiri mkeo na kumpa mimba anakuachia makombo na mtoto haramu.
I Ikaenda kwa Abraham akaambiwa amchinje mtoto wa pekee aliyempata kwa mbinde akiwa mzee wa miaka 100.
Musa, Yakobo, Yesu, na waeneza injili wote hawajawahi kuwa na maisha marahisi hata kidogo.
Hata watumishi wa leo tunawaona jinsi walivyo na vita. Sio Masanja tu, tumeona Mwamposa kwenye ibada yake watu 20 walikufa, Tumeona Bushiri alivyopata misukosuko South Africa. Na wengine wengi.
Hawa watu wa Mungu wanahitaji sana maombi yetu. Vita vya madhabahu ni vita kubwa mno. Tuwaombee bila kukoma.