Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hakuna watumishi wa mungu sema kuna wafanyabiashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni vitu viwili tofauti.Hakuna watumishi wa mungu sema kuna wafanyabiashara.
Hadi SAsa Hakuna jaribu jipya duniani kujiua kwa ajili ya jaribu ni kisingizio tu cha ufinyu Mdogo wa fikra.Kila mtu anapitia majaribu mazito sio wao tu labda mwenzetu.
Dini za kweli zipo ishu ni maarifa tu.Mkuu umeoa
Kama bado njoo tuwe tunajumuika tunaenda kutoa kile tulicho kipata kwa yatima, wajane na wazee.hizi dini ni utapeli na huko kunauchafu mwingi Sana unafanyika.
Mungu yupo moyoni mwetu Tuishi kwa wema na kutendea watu mema. Inatosha kabisa.
Karibu kaka..tutasaidia wengine watoke kwenye vifungo vya dini za kinyonyaji na kitapeli
Wala hujakosea mahusiano ya mtu na Mungu niya mtu binafsi watu hawajui kabisa.Omba Mungu usikutane na uhitaji wa huduma ya kikanisa ndugu yangu , utalia!
Hiyo Bujibuji ina sura ngapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii itakua Bujibuji 1:1-3
Ulaya makanisa yako tupu, vijana hawaendi makanisani wanajuwa dini ni usanii tu na miradi ya watu.Bila Zaka na sadaka Hakuna Ukristo. Kazi ya zaka ni kulinda mali zako zisipotee. Kanisa ujengwa na michango ya watu, kumbuka ulaya awatoi pesa za kuendesha makanisa kama zamani, huku mahitaji yakiongezeka KILA siku. Hakuna cha bure duniani kwa Mungu ni lazima utoe na kwa shetani pia bila kutoa utoboi.
Commedian hafai kuwa mtumishi? mentality ya kijinga mmejazwa, sjui huwa mnaudefine vip huo wokovu, kwa bahati mbaya ama nzuri Muumba si mjomba wenu kwamba mtampangia aina za watumishi wake wakuwachunga wafuasi.Aliyekwambia masanja ni mtumishi wa Mungu ni nani?yule ni comedian analeta mizaga na neno la Mungu
Ni chuki za kikubwa, Rwanda ni marufuku kama huna Degree ya theology kujiita cleric leader.chuki za kitoto hizi, nan kawaambia kuwa mchungaj lazma usomee hzo theologia zen za kidin?, petro alisoma wapi?, yohana alisoma wapi?, paulo alisoma wapi, yakobo alisoma wapi?
hilo wazo la kuwafanya wachungaji wasomee utumishi ni lengo la mzungu kuwafunga waumini na viongoz wa kdini wasifikirie nje ya box zaid ya kufungwa na masomo ya uongo huko Bible collages na vitahasisi vyenu vya uongo.
ROHO MTAKATIFU haitaji ujuaji wala usomi ndipo et umtumikie Muumba, bali kuteuliwa tu.
All in All mnapoteza muda na hizi dini zenu za kijinga
Sababu ni vipofuUlaya makanisa yako tupu, vijana hawaendi makanisani wanajuwa dini ni usanii tu na miradi ya watu.
Yani Bongo kanisa linamiradi kibao halafu kila siku mnakamuwa waumini waliojichokea, ile miradi mlianzisha ya kazi gani?
Soma Zaburi 17:5Commedian hafai kuwa mtumishi? mentality ya kijinga mmejazwa, sjui huwa mnaudefine vip huo wokovu, kwa bahati mbaya ama nzuri Muumba si mjomba wenu kwamba mtampangia aina za watumishi wake wakuwachunga wafuasi.
acheni ujinga