Tukatae, tukubali, watumishi wa Mungu hupitia mapito/ mitihani mikubwa sana. Tuwaombee bila kukoma

Hakuna watumishi wa mungu sema kuna wafanyabiashara.
 
Jaribu utoka kwa Mungu au kwa shetani pia. Kadri unavyozidi kujitakasa ndivyo mishale mingi itakuaandama.
 
Shetani hana tabu na mlevi, mzinzi, mwizi wala tapeli .maana hao tayar wako upande wake ,yeye anacheza na hawa wacha mungu ndo maana sehemu za ibada anafanya visa watu wasinzie kuliko hata bar.

Ukiwa na imani utapata majaribu makubwa mno kutokana na kiwango chako cha imani ni mtihani sana ukifanya mistake kidogo unaweza haribu kila kitu na uaminifu ulioujenga kwa miaka.
 
Dini za kweli zipo ishu ni maarifa tu.
Zaka na sadaka utolewa kanisani, kuwapa hao wahitaji sio zaka na sadaka, hayo ni matendo ya huruma. Kama kwa shetani mnatoa kwann msitoe kwa MUNGU. Hakuna baraka bila kutoa either kwa shetani au MUNGU.
 
Acha uwongo, kila mtu anapitia matatizo hapa duniani sema mnayabadilisha tu jina, kwa mnaowaita watumishi wa mungu mnayaita majaribu sisi wengine mnayaita mapito.
wake up.
 
Ulaya makanisa yako tupu, vijana hawaendi makanisani wanajuwa dini ni usanii tu na miradi ya watu.

Yani Bongo kanisa linamiradi kibao halafu kila siku mnakamuwa waumini waliojichokea, ile miradi mlianzisha ya kazi gani?
 
Aliyekwambia masanja ni mtumishi wa Mungu ni nani?yule ni comedian analeta mizaga na neno la Mungu
Commedian hafai kuwa mtumishi? mentality ya kijinga mmejazwa, sjui huwa mnaudefine vip huo wokovu, kwa bahati mbaya ama nzuri Muumba si mjomba wenu kwamba mtampangia aina za watumishi wake wakuwachunga wafuasi.

acheni ujinga
 
Ni chuki za kikubwa, Rwanda ni marufuku kama huna Degree ya theology kujiita cleric leader.
 
Ulaya makanisa yako tupu, vijana hawaendi makanisani wanajuwa dini ni usanii tu na miradi ya watu.

Yani Bongo kanisa linamiradi kibao halafu kila siku mnakamuwa waumini waliojichokea, ile miradi mlianzisha ya kazi gani?
Sababu ni vipofu
 
Commedian hafai kuwa mtumishi? mentality ya kijinga mmejazwa, sjui huwa mnaudefine vip huo wokovu, kwa bahati mbaya ama nzuri Muumba si mjomba wenu kwamba mtampangia aina za watumishi wake wakuwachunga wafuasi.

acheni ujinga
Soma Zaburi 17:5
Bible inakataza utani wa kukera
Mistari iko mingi tu ila anza na huo
Tubishane kwa hoja
 
Hivi kama ulikuwa ni mwenye dhambi,ukaamua kutubu kwa Mungu ambaye anasamehe,na kugeuka kuzifuata njia zake,ukafikia level ya kufungua kanisa na wewe ukawa mchungaji wa hilo kanisa,kosa liko wapi?tuangalie mitume kama wakina Paul kwenye Biblia ambao leo tunayakiri mafundisho yao,mbona walitenda dhambi kabla ya kuokoka na kuwa mitume?Mimi naona tumuachie Mungu kwenye kuwahukumu hawa watumishi wa Mungu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…