Well planned and organized homes. Hakuna mafence ya ukuta, ni miti iliyotunzwa vizuri sana.Mamangi hapa mmejua kutunyoosha, yaani mtu anaweza kutokea Bukoba mjini au Singida akaja kushangaa Marangu.
Mikoa mingine uchawi tuwachie mababu zetu sisi tukomae kupendezesha nyumbani.
Picha kwa hisani ya Bertin
Video nimeattach
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1CQMtL86pJ/
Kama vile roho imejikunja kiaina.
Kama vile roho imejikunja kiaina.
Nani kasema pakiwa baridi ni hali ya hewa safi kifupi hali ya hewa marangu sio baridi Kali na Wala sio joto sana ni moderate isipokuwa June na JulyKwamba eneo likishakuwa baridi, ndio hali ya hewa safi????
Miundo mbinu sio mitiSasa tofauti yake nini? Rangi ya paa?
Hata mahenge tu kupo hivyo.Hata Tukuyu tu kupo hivo
Kama hujaona tofauti basi utakuwa umeamua kujitoa ufahamuSasa tofauti yake nini? Rangi ya paa?
Sio hawa wa sasa , wa sasa ni wazembe na wanapenda kitonga walikua wazee wao labdaMwanaume wa kimarangu pesa zake sio kuhonga kabisa ndio Maana wanapata maendeleo, wao Starehe ni Pombe Tu, Mbunye sio kipaumbele kabisa
Hata aliefananisha hakumaanisha miundombinu. Hamna mwenye akili timamu atalinganisha miundombinu ya Ulaya na Afrika.Miundo mbinu sio miti
Usipende kudandia treni kwa mbele utaumia.Kama hujaona tofauti basi utakuwa umeamua kujitoa ufahamu
Sio , wamarangu wana ile kasumba ya zamani kuwa wao wameendelea kuliko sehemu nyingine uchagani , kumbe wameshapitwa kitambo bila kujijuaAu sio
Usipende kudandia treni kwa mbele utaumia.
GreatHata aliefananisha hakumaanisha miundombinu. Hamna mwenye akili timamu atalinganisha miundombinu ya Ulaya na Afrika.
Kwa hiyo ule usemi wa Kaskazini hatokei fala hauwahusu hao vijana wa kisasa?Sio hawa wa sasa , wa sasa ni wazembe na wanapenda kitonga walikua wazee wao labda
Vijana wamarangu wamebaki sifa tu , wamebweteka na maendeleo ya wazazi wao ,marangu wenye hela ni wazee tofauti na maeneo mengine ya uchagani kama rombo machame na kibosho wenye hela ni vijana wadogoKwa hiyo ule usemi wa Kaskazini hatokei fala hauwahusu hao vijana wa kisasa?
Huwezi fananisha na kwenu mkuu, acha wivu.Ni hali ya hewa tu ndiyo favourable.
Mengine ya kawaida sana.