Tukiacha Unazi tuwe wakweli, je ni nani anayechezea Brand ya Simba hivi sasa bila makubaliano ya kimkataba yenye uwazi na yanayoeleweka?

Heri yako wewe unajielewa na umeweka unafiki pembeni,huyo aliekutukana yupo kwenye payroll ya kumtetea Mwamedi kwenye mitandao hasa hapa Jamiiforums.
 
Sasa mnataka aweke hela zake bure tu.. bila ya yeye kupata faida yoyote mkuu? Hisa 49% sio ndogo mkuu unless zingekuwa splitted kwenye kampuni tofauti ambazo nazo bado wangeomba kuonekana kwenye jesy n.k..

Umesahau mkasa wa Ronaldo.. alivyosukuma soda mezani?..[emoji1783][emoji1783][emoji1783]

Nipo Yanga lakini nakuambia mwanasimba ni vizuri kumheshimu mdhamini wenu huyo ndo kaifanya Simba Leo ifike hapo mkuu
 
Anacho ongea mleta mada ni zaidi ya Kulipa posho, zaidi ya kulipa mishahara, ni zaidi ya kusajili wachezaji na ni zaidi ya kila kitu ulichokileta hapa coz haya unayo ongea wewe ni must do things kutokana na asilimia ya hisa alizonunua

Stan & Josh kroenke ni shareholders wakubwa wa Arsenal na wana makampuni kibao ila ushawai kuona wanaweka matangazo ya kampuni au bidhaa zao kwenye ya timu yao na vilevile kwa Glazers family na Manchester united, Ibrahimovic na chealsea, sheikh Mansour na man city

Siku timu ikikosa makombe nina uhakika mtarudi hapa kuanza kuhoji uwekezaji wake Coz now amejificha kwenye hayo mafanikio na hakuna marefu yasiyokuwa na ncha
 
Usidanganye watu. Thamani ya mkataba wa Sportpesa inajulikana na inajulikana mkataba ni wa muda gani.

Thamani ya mikataba ya MO haijulikani. Na wala haijulikani ni ya muda gani.
20B nizakwako..? Na zile kama 150M za moxtra nizakwako nenda pale msimbazi kawaaukize viongozi kwani kila mktaba unakua open kwa kila mtu..?
 
Mkuu unahitaji kuweka na wewe tangazo hapo au unaongelea kwa msingi wa haki?
Kama ni msingi wa haki basi ukumbuke kuna wajibu pia......

Nafikiri mo ameona fursa anaitumia kwa wakati ......

Hata ungekuwa wewe ndio mo ungefanyaje?
 
Mkuu usipate shida na hawa maandazi, hawa ndio wezi wetu wa kuku mtaani,kula kulala kutwa wanashinda vijiweni hata akili ya kutafuta hawana.Simba sasa hivi imeneoga hata waseme nn sisi tupo na MO %
 
Mkuu usipate shida na hawa maandazi, hawa ndio wezi wetu wa kuku mtaani,kula kulala kutwa wanashinda vijiweni hata akili ya kutafuta hawana.Simba sasa hivi imeneoga hata waseme nn sisi tupo na MO %
[emoji1319][emoji1319][emoji1319] hakika
 
Hela ndefu ndo shilingi ngapi??

Hiyo mikataba inajulikana wapi au kuna wanaijua??

Kwa nini hiyo mikataba iwe kama siri, mbona thamani ya mikataba mingine ya kibiashara kwenye michezo na hata kwenye hizi timu zetu huwa inajulikana.
hebu tuambie thamani ya mkataba wa Yanga na GSM Kama inajulikana ,weka facts hapa siyo bla bla
 
Umeshamaliza kila kitu mkuu ukitaka kula pia kubali kuliwa.
 
Unaenda mbali sana. Kuwa mustaaraabu.
kabla ya kunitaka ustaarabu mwambie huyo bwege awe mustaarabu. Kanuni yangu ni moja,mtu akisema kunya na mimi namjibu kunya. Naamini wote humu tuko timamu,kwa hiyo hapaswi kunikashfu halafu nikamuacha salama. Ananiuliza Mo ananifanya nini,halafu unataka nimjibu kistaarabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Enzi za kubembeleza zimepitwa na wakati
 
kwamba b20 zilitolewa baada ya kelele? sio baada ya mchakato wa tume ya ushindani kukamilika? Ni au huna taarifa nyingi au moja kati ya haters. Huko kujionea Simba na Mo wakianguka mmeanza kusubiri tangu 2018 mpaka leo,hola. Badala yake Simba hiyooooo top 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…