Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

Wewe ni mlemavu wa akili, na ulemavu huwa hauna tiba, tunaishi na walemavu jinsi waluvyo. Walaumu wazazi wako achana na mimi
Huna lolote mburula mkubwa chuki zako kwa hayati JPM zimekujaa pomoni. Una mambo ya kiduwanzi pimbi mkubwa.
 
Naomba unipe kifungu cha Katiba/ Sheria inayosema Bunge ndiyo mamlaka ya kuidhinisha mikopo. Short of that mnakuwa mnabisha tu kufurahisha wasomaji
Hakipo?
 
Ndugai aliomba msamaha kwa HOJA yake? Hebu play kidogo hayo maneno aliyatumia kuombea msamaha wa maneno yake ya kwanza. Simuungi mkono Ndugai lakini napenda sana kuona usahihi wa michango yetu
 
Kuomba msamaha kwake hakuondoi hoja aliyoiweka mezani
Hakuna hoja yenye akili aliyoiweka mezani ni upumbavu tu ndio uliomsukuma kufanya hayo! Yaaninmnataka mtu aichokonoe serikali kwa kauli za kipuuzi halafu Rais akae kimya? Halafu kusema eti ametimiza wajibu wake kama kiongozi wa bunge hilo silikubaliani nalo, kwa nini hakulisemea bungeni hilo?
 
Mi natamani hiyo event ya...wanyausi, ifanyike tena. Na safari nyingine wamukaribishe katibu mkuu wa chama au serikali ama PM, ili Watanzania tujuzwe yaliyofichika. Yaani wajikute tu Wanaropoka ukweli wa mambo bila kujijua. Kuhusu kujiuzulu kwa spika,huo utakuwa udhaifu uliopitiliza.
 
Hoja haijajibiwa,kazi ya tozo ni nini kama mkopo umeshatumika kujenga hizo shule na madarasa mazuri nchi nzima.
 
Huna lolote mburula mkubwa chuki zako kwa hayati JPM zimekujaa pomoni. Una mambo ya kiduwanzi pimbi mkubwa.
Mimi pimbi niko hai naishi. JPM huyo chakula cha minyoo na sisimizi. Nyankurungu2020 yeye ni msukule bado anamuabudu Dikteta tuliyemzika Chato.

Nani ana afadhali kati yetu?
 
Nikiwa nimekaa hapa nikiota moto, imenijia akilini kuwa maadui wetu wa maendeleo TZ ni watatu tu.

• Uchawa ProMax wa Viongozi na Vijana wa UVCCM
• Kipaumbele Ni kwenye Next Election na sio Next Generation
• Presence of many Clueless Citizens

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pamoja na hayo yote uliyoyasema hapo juu, bado Ndugai analindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania katika ishu ya kutoa maoni yake.

Ni haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni yake juu ya jambo fulani ilmradi tu katika kutoa maoni yake havunji sheria yoyote ya Nchi yetu. Tatizo lililopo kwa wana CCM ni chuki tu na unafiki.
 
Ukiwasikiliza wanaccm wanatamani kama wangembambikia kesi hivi Ndugai, Lakini wanashangaa kumbe ana kinga🤣. Mlipompa kinga ya kutoshitakiwa kwa lolote mlidhani mnawakomoa Chadema?. Awali walilaumu katiba kumpa Samia urais. Wamebaki kuomba tu spika ajiuzuru.... Sasa umhimu wa Katiba Mpya unaonekana zaidi kwa wanaccm.
 
Kuomba msamaha kwake hakuondoi hoja aliyoiweka mezani
Mtu mnaa ananzaje kuaminika, atuambie Kwa uwazi ameona Kuna maslahi Gani Leo, mbona muda wote huo alishiriki uongo kuwa miradi yote inatekelezwa Kwa pesa za ndani, alikuwa wapi kutekeleza wajibu wake muda wote huo?
 
Magufuli alipokopa Tsh 29 Trillion kwa miaka 5 aliona sawa tu??? Samia kakopa Tsh 1.3 Trillion ndiyo Ndugai anatumia haki yake kikatiba!!

Halafu mbona mwenyewe kaomba msamaha? Sasa aliposema nimekosa Mimi, nimekosa mimi alimaamisha nini?
 
Wewe kiazi una akili? Magufuli miaka mitano ametekeleza miradi mingapi mikubwa? Miradi mikakati ambayo itakuwa na impact kubwa kwa taifa letu?
 
Wewe kiazi una akili? Magufuli miaka mitano ametekeleza miradi mingapi mikubwa? Miradi mikakati ambayo itakuwa na impact kubwa kwa taifa letu?
Kwa hiyo ndio maana mnataka kumkwamisha mnaefikiri haja Fanya miradi sio, basi ameamua kuwa letea wa madarasa wa1.3t Sasa mmeona nongwa,. Ila vilaza ni vilaza TU. Mradi alioukamilisha ni upi, na fedha za kuendeleza hiyo miradi, bila ya kuwapora raia, wawekezaji, wafanyabiashara,bila ya kufilisi wakosoaji zinatoka wapi? Ifike Mahalia watanzania tuache unaa na tuheshimiane.
 
Yaani Yericko nilijua una maarifa lakini kwa hapa nachelea kusema umeyumba, kusema mkopo ilikuwa ya kimya kimya wakati ilikuwa hadharani, hakuna mkopo ambao ulikopwa kimya kimya, yote ambayo ilikopwa iliwekwa wazi na mikataba ilisainiwa.
 
Unapindisha, mwenzio kanyoosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…