Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

Kiasi fulani unasema kweli ukisikiliza maoni vijana wa kenya na Tz ni tofauti kabisa...
Hata kwenye page za social media vijana wa Tz wana shida mpaka unajiuliza huyu mtu kweli ni baba au mama katikati familia fulani
Hata ukiangalia page za Nigeria unaona watu wanajielewa sio kama Tanzania
 
Hata ukiangalia page za Nigeria unaona watu wanajielewa sio kama Tanzania
Na huu ni ukweli ambao vijana wa kitanzania hawataki kuusikia. Ila ukweli tuna kizazi kichovu sana sijui kama tutakua kwa haraka. Kenyans na Nigerians unaweza kuwasoma hata kwa namna wanavyozungumza kwenye social media.

Vijana wa kibongo nawafananisha na vijana wa ZA wanawaza ngono,pombe na pesa za dezo kila wakati. Kama una kijana wako mdogo chunga sana ktk malezi yake asiangukie kundi hili la vijana wa sasa. Tatizo Lao limeanzia kwa wazazi wao na walezi.
 
Wengi waliochaguliwa NI watoto wao maadili yatoke wapi?
 
Siri, mnaficha nini?
 
Siri, mnaficha nini?
Pia nashangaa hapa, kwani kuna cha kufichana hapa. Hili zoezi ni la Kitaifa na kila jambo kuanzia mafunzo mpaka utendaji viko wazi ndio maana wamechukua mpaka form 4 ili kuweza kutimiza hii suala.
 
Picha mkuu...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Familia Wana asilimia 75 za kutengeneza kijana wa kike na wakiume wanaojitambua. Familia ni taasisi kubwa sana

Alafu kuna CHIZI moja linakuambia ndoa haina maana, bila ndoa Bora kuna familia Bora hapo.

Yaani kuna watu wamevurugwa kweli
 
Kwa vijana kuwa wa hovyo ina onyesha kuwa ata wazazi nao walikuwa wa hovyo maana mtoto ujifunza toka kwa wazazi na sio vice versa
 
wewe unaona ajabu katita hilo wakati Ex wangu ametoa rushwa ya ngono kwa kizee kiongozi ilimradi achaguliwe kwenye ukarani wa sensa ukiangalia huyo binti bado mdogo miaka 19 anaelekea 20 hawalingali nahicho kizee, hii Dunia ni ngumu sana , tupo kwenye mfano wa sodoma na gomora
 
Utapigwa mawe lakini kazi yako umeimaliza, asante kwa kuwa mkweli na muwazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…