Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukiangalia page za Nigeria unaona watu wanajielewa sio kama TanzaniaKiasi fulani unasema kweli ukisikiliza maoni vijana wa kenya na Tz ni tofauti kabisa...
Hata kwenye page za social media vijana wa Tz wana shida mpaka unajiuliza huyu mtu kweli ni baba au mama katikati familia fulani
Na huu ni ukweli ambao vijana wa kitanzania hawataki kuusikia. Ila ukweli tuna kizazi kichovu sana sijui kama tutakua kwa haraka. Kenyans na Nigerians unaweza kuwasoma hata kwa namna wanavyozungumza kwenye social media.Hata ukiangalia page za Nigeria unaona watu wanajielewa sio kama Tanzania
Wengi waliochaguliwa NI watoto wao maadili yatoke wapi?Nipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
Siri, mnaficha nini?yaani nakushangaa wewe unaye waona wenzio hawana akili wakati wewe huna akili zaid yao! tena wewe ndiye mjinga wa kwanza kwa sababu moja ya kanuni ya sensa ni utunzaji wa SIRI, na utunzaji huo wa siri unaanzia ndani ya mafunzo lakini wewe umeshindwa kuwa msiri matokeo yake umeanza kuleta mambo ya sensa mitandaoni hivi unajionaje una akili hapo.
Pia nashangaa hapa, kwani kuna cha kufichana hapa. Hili zoezi ni la Kitaifa na kila jambo kuanzia mafunzo mpaka utendaji viko wazi ndio maana wamechukua mpaka form 4 ili kuweza kutimiza hii suala.Siri, mnaficha nini?
Anasema hakulea viwavi,ila anashtuka wamegeuka na kuibuka kuwa viwavi 🏃Kwani hao vijana wa 20's na 30's walilelewa na shetani au wazazi wao na jamii hii tuliyomo..??
Picha mkuu...😂😂Nipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
Familia Wana asilimia 75 za kutengeneza kijana wa kike na wakiume wanaojitambua. Familia ni taasisi kubwa sana
Kwa vijana kuwa wa hovyo ina onyesha kuwa ata wazazi nao walikuwa wa hovyo maana mtoto ujifunza toka kwa wazazi na sio vice versaNipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku wakufunzi wakivaa uchi, ni aibu kwa Taifa kuwa na watu wapumbavu kama hawa.
Pathetic
wewe unaona ajabu katita hilo wakati Ex wangu ametoa rushwa ya ngono kwa kizee kiongozi ilimradi achaguliwe kwenye ukarani wa sensa ukiangalia huyo binti bado mdogo miaka 19 anaelekea 20 hawalingali nahicho kizee, hii Dunia ni ngumu sana , tupo kwenye mfano wa sodoma na gomoraNipo Sehemu X